Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Simu ni NZIMA kabisa tatizo dogo lipo kwenye display ambapo kuna nyufa zinaonekana kwa mbali.
Wahi sasa kwa muuzaji makini.
Simu_0625518288 au whatsapp. 0675558824
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Simu ni NZIMA kabisa tatizo dogo lipo kwenye display ambapo kuna nyufa zinaonekana kwa mbali.
Wahi sasa kwa muuzaji makini.
Simu_0625518288 au whatsapp. 0675558824
Battery nikiwa on data sema ukweli masaa mangapiMkuu hio mashine we acha zinamaisha makubwa battery cio kama cm zngne
Nami nilitaka kumshangaa jamaa ni simu gan kwa sasa smartphone itakaa na moto siku 2, hata umpe bib wa miaka 80 moto ni siku 1 tuuUsawa huu Smartphone zote lazima uchaji kila siku.. Kama huchaj ndan ya mda huo basi unakaa na simu kizee