Simu inauzwa HTC One m8 Bei_170,000/=

Simu inauzwa HTC One m8 Bei_170,000/=

Hizo nyufa mbona umezificha boss umepiga simu pale kwenye tatizo camera haija forcus ila simu iko poa inaonekana
fb54e4a0539251dbbdeda4c7d821cc9a.jpg

Angalia kwa mbali utaona nyufa
4261a74a9005117ae1b346bd0d8fb6a6.jpg

fd06947fc25c6370f51a285ee920932e.jpg
 
Mi namtaka huyo Sungura mkuu! Bei gani?
Huyo nimempeleka shambani mkuu,wakizaa nitakutafuta.

Kwasasa unaweza ukamwona 0674 411 835 Anaitwa dk.Marcus ni mwangalizi wa sungura pale Dar es salaam zoo kigambini.
Japo bei zao zipo juu,ila wana mbegu nzuri.
 
Usawa huu Smartphone zote lazima uchaji kila siku.. Kama huchaj ndan ya mda huo basi unakaa na simu kizee
Htc simu bora kabisa, ninazipenda sana, japo utachaji kila siku
 
Usawa huu Smartphone zote lazima uchaji kila siku.. Kama huchaj ndan ya mda huo basi unakaa na simu kizee
Htc simu bora kabisa, ninazipenda sana, japo utachaji kila siku
 
Back
Top Bottom