Htc simu bora kabisa, ninazipenda sana, japo utachaji kila siku
Weka picha bhana hizi biashara zenu huwa mnazifanyaje kama vile kumuuza mbuzi kwenye guniaKama kichwa cha habari kinavyo jieleza.
Simu ni NZIMA kabisa tatizo dogo lipo kwenye display ambapo kuna nyufa zinaonekana kwa mbali.
Wahi sasa kwa muuzaji makini.
Simu_0625518288 au whatsapp. 0675558824
mkuu,SIO SIMU TU. hata vitabu ninauza bei cheap kwangu ni sawa tu.Htc one m8 kwa 170 ni bei cheap mno.
Vyuma?
Una vitabu vya hadithi za wayao? Ni vya zamani mno.mkuu,SIO SIMU TU. hata vitabu ninauza bei cheap kwangu ni sawa tu.
Ukija kwangu kitabu kama Advanced physics ya chand nitakuuzia elfu 32,000/= badala ya 45,000/=
Advanced physics ya Nelkon nitakuuzia 48,000/= badala ya 60,000/=
.......