Superpower
JF-Expert Member
- Oct 11, 2018
- 826
- 921
Jamani battery langu la simu niliona limekwisha kuanza kupunguza ubora Hadi kufika nusu ya mdaa wakukaa na charger Sasa nikasema isiwe kesi nikanunulia battery jingine Cha kushangaza battery jipya inatumia masaa mengi kujaa siku nyingine kumi siku nyingine matano. So please karibu kwa msaada wako