Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,704
Nenda kwa mtabiri.Habari wandugu, simu yangu sikumbuki niliiweka wapi jana(nilikuwa bize na mgonjwa) sasa bado inaita hadi sasa, nawezaje kuipata?
maeneo nayafahau ila sijui exact place
Nenda kwa mtabiri.
NishastaafuWw si mtabiri lkn
Nishastaafu
Yuko poa kabisaHaya bana mumeo hajambo
Yuko poa kabisa
Siachiki leo wala kesho. Ntakukuta ushazeeka.Ukiachika nitafute nina zawad yako
Siachiki leo wala kesho. Ntakukuta ushazeeka.
LinasinyaaIla tango halizeeki [emoji41]
DahHabari wandugu, simu yangu sikumbuki niliiweka wapi jana(nilikuwa bize na mgonjwa) sasa bado inaita hadi sasa, nawezaje kuipata?
maeneo nayafahau ila sijui exact place
hujui kuna computer au?hii thread umeiandikia wapi