baraka clemence
Senior Member
- Sep 18, 2016
- 137
- 66
Samahani wadau nina simu yangu sumsanga Galaxy Note 2 najaribu kuverify number wakat na install whatsup inanigomea naomba msaada nimejaribu kureboot lakini bado tatizo linaendelea naitaji msaada nawasilisha