Simu inaandika "unfortunately, launcher3 stopped"

last king of uscoch

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2015
Posts
2,761
Reaction score
4,005
Habari za kazi wakuu,

Niko hapa mwanajukwaa mwenzenu nimepatwa na tatizo katika simu yangu, kila nikitaka ku press menu inaniandikia "unfortunately, launcher3 stopped", natambua uwepo wa waganga watakao nisaidia kutatua tatizo langu.

Asante kwa kunisikiliza.
 

Hivi inaweza kuwa ni Samsung au iPhone hiyo mkuu...?
 
Uifute hiyoo app au kama si ya kufutoka bas Disable kwenye app manager itaacha kukusumbua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…