IBRA wa PILI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 1,549
- 2,689
Tafuta ile app then iguse bila kuachilia kitatokea kialama cha i kiguse hicho kwenda direct kwenye menu ya kuclear cache.
Nilifanya ivi mkuu nika clear data na ikawa zero data nikawasha tena ola ila baada ya muda imerejea fresh inapga nashukuru sana ndugu Chief-MkwawaTafuta ile app then iguse bila kuachilia kitatokea kialama cha i kiguse hicho kwenda direct kwenye menu ya kuclear cache.
OK mkuu nashukuru ila imerejea iko poahilo ni tatizo la simu za tecno hapo tumia kwa mambo mengine camera ndio basi ikikaa muda inakuja kupiga camera ya mbele na ukiwasha tochi inawaka yambele
Asante beberu na ongera kwa simu yako inayojiweka vocha yenyewe na kujichaji yenyewe inayofungua internet bure bila kulipia ndio utofauti uliopo si wa tecno vocha mpaka tukwangue na kuweka sio izo zenu za kijiweka zenyewe Internet mpaka tulipie kuchaji mpaka tuziweke chaji sio kama zenu za kijichaji zenyewe ongera kwa simu iyoWanunua techno huwa nawaita wazalendo, pongezi mzalendo
Mkuu na vipi camera ya simu ikiwa unatoa ukungu nafanyaje ili ikae sawa natuma ItelJaribu kwenda app ya camera clear cache/data ama Uninstall updates kama zipo.
Ukungu upo kwenye hardware? Ukiangalia nyuma kwa macho unauona? Most of time utatakiwa kusafisha lens kwa ndani.Mkuu na vipi camera ya simu ikiwa unatoa ukungu nafanyaje ili ikae sawa natuma Itel
yangu ilazingua mazimaOK mkuu nashukuru ila imerejea iko poa
Shukran mkuuUkungu upo kwenye hardware? Ukiangalia nyuma kwa macho unauona? Most of time utatakiwa kusafisha lens kwa ndani.