Simu imeokotwa

Inatokeaga sana,wannanza na wewe ulisaidie plc

Ova
 
hiyo picha ni wallpaper simu ina lock
 
HABARI WAKUU,NAPENDA KUCHUKUA NAFASI HII KUWASHURU KWA SUPPORT YENU ILA NAWAJULISHA YA KWAMBA MWENYE SIMU AMEPATIKANA NA TUMEMKABIDHI KWENYE VYOMBO VYA SHERIA KITUO CHA PANGANI ILALA.
Umemkabidhi kwenye vyombo vya sheria kuwa akamatwe kwa nini kapoteza simu au? Mimi mgumu sana kuelewa hebu nieleweshe
 
kituo cha police pangani ilala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…