Hii inaonyesha tumefika mahali hata uone mwenzako amepoteza kitu huwezi kumsaidia kwa kuogopa kuingizwa kwenye eneo lisilo lako. Kweli vyombo vyetu haviwezi kutenganisha mtu aliyetoa msaada na aliyefanya hicho kitendo?Angalia tu usigeuziwe kibao
Ova
ushauri mzuri mkuu ila wachache wenye moyo kawa wake mwingne angeokota na kutoa rainIzi mambo izi dunia iko Mbele Sana, Hichi kitendo ulichofanya ni cha Kiungwana Sana ila nakushauri access mazingira ya ulipoikota Kabala ya Kupiga Kelele Ivo umeikota, Mimi niliwahi kutana na simu Usiku imedondoshwa nkachana nayo wala sikuigusa kabisa
Unaweza kuwa na Nia nzuri lakini baadae ikakuponza
Ila pia watumiaji wa smartphone tuweke emergency contact ambapo kwa issue kama hio hakuhitaji Kutoa lock ili uwasiliane na emergency contact,
Emergency contact inasaidie mambo mengi Sana kama kuweka taarifa za awali za afya au Group blood type na allergy just ata ikitokea Ajali na ukawa unconscious basi watu wata access Izo vital info zako kwa Msada zaidi
ushauri mzuri mkuu ila wachache wenye moyo kawa wake mwingne angeokota na kutoa rain
ni kweli mfano wewe umepoteza simu yako haijapatikana ukafanya process za kui track ukampata aliyeiokota utachukua simu yako au utampeleka policeKwa teknolojia ilipofika kutoa laini ni kujitafutia matatizo tu
na.kwenye hili kwa.hakika sihitaji chochoteKweli muhaya hafichiki hata kwenye picha
Huyu mwenye simu Ni muhaya(wasomi)
Kwa kuwa siku hizi za teknolojia mmegundua hivyo vitu Vinaleta jau hata kama umeokota...basi umefanya vyema....
Uwe na bahati awe muhaya kweli, utaambulia chochote(utaokota)
Ila kama ni MANGI...UTAAMBULIA ASANTE CHALII YANGU!
jana tulikuwepo eneo ilipokotwa simu lakini haikuzaa matunda mkuuIzi mambo izi dunia iko Mbele Sana, Hichi kitendo ulichofanya ni cha Kiungwana Sana ila nakushauri access mazingira ya ulipoikota Kabala ya Kupiga Kelele Ivo umeikota, Mimi niliwahi kutana na simu Usiku imedondoshwa nkachana nayo wala sikuigusa kabisa
Unaweza kuwa na Nia nzuri lakini baadae ikakuponza
Ila pia watumiaji wa smartphone tuweke emergency contact ambapo kwa issue kama hio hakuhitaji Kutoa lock ili uwasiliane na emergency contact,
Emergency contact inasaidie mambo mengi Sana kama kuweka taarifa za awali za afya au Group blood type na allergy just ata ikitokea Ajali na ukawa unconscious basi watu wata access Izo vital info zako kwa Msada zaidi
Mko watu wachache sana dunianiKwa yeyote anaye mfahamu kwenye hiyo picha tuwasiliane mana kuna simu imeokotwa ina picha hiyo
View attachment 3644458
wa na kuuliwa? Fanya hivo kakaDuh,hapana mkuu sipo huko ila simu ni.SAMSUNG S24 ULTRA
Jamaa anasaka ku.-trend tu, hana lolote huyu.Kwanini USIWEKE simu ikaonekana ni aina gani mkuu, nje ya box pia unaeza kua unatafuta trending,
Hongera mkuu kwa uamuzi uliofanya, nilikuwa sijui kama watu wema bado wapo.Kwa yeyote anaye mfahamu kwenye hiyo picha tuwasiliane mana kuna simu imeokotwa ina picha hiyo
View attachment 3644458