Sim yangu ukimpigia mtu hata ukipigiwa haipatikani, ila nimeambiwa inatakiwa niiflash, sasa swali, je? Siwezi kuiflash mimi mwenyewe, maana laptop ninayo, cd yake ya software ninayo, na nina full time internet access. Naomba msaada kuhusu hilo, au nikagawe riziki kwa wananchi wenzangu, kwa gharama ya kuflash? naomba msaada wadau.
http://tinyurl.com/3a3ntfo lakini na kupongeza kwa kuwapa support programer. GOOD!Naomba nipe links ya zile za bure zenye functions kama hii niliyonunua.
Kwanza backup phonebook yako. vilevile hujasema aina ya sim maana kila make ina fomula yake. kama ni latest nokia hakikisha unajua firmware version yake maana uki downgrade inakwenda harijojo. na ikiflash halafu ikakwamia katikati hutaweza kuiamsha tena kwa hiyo usb mpaka fbus cable.Jaribu ku-formart kwanza, small format *#7370# secret code 12345. Big format, zima simu yako shikilia green key,nyota,namba 3, washa simu huku umeshilia sehemu hizo, tafadhali usiachie sehemu hizo nne hadi simu iwe imewaka sawasawa. Hakikisha battery yako iko full unapofanya big format. kuhusu flash http://tinyurl.com/244zusl YOU DO THIS AT YOUR OWN RISK.
Kuhusu Format huo ni utaratibu kwa symbian phone aina zote.BinMgen
Kwanza backup phonebook yako. vilevile hujasema aina ya sim maana kila make ina fomula yake. kama ni latest nokia hakikisha unajua firmware version yake maana uki downgrade inakwenda harijojo. na ikiflash halafu ikakwamia katikati hutaweza kuiamsha tena kwa hiyo usb mpaka fbus cable.
Sim yangu ukimpigia mtu hata ukipigiwa haipatikani, ila nimeambiwa inatakiwa niiflash, sasa swali, je? Siwezi kuiflash mimi mwenyewe, maana laptop ninayo, cd yake ya software ninayo, na nina full time internet access. Naomba msaada kuhusu hilo, au nikagawe riziki kwa wananchi wenzangu, kwa gharama ya kuflash? naomba msaada wadau.
Sijabisha alichosema Calvin!, nilichofanya ni kuweka sawa baada ya kunikumbusha, utaratibu huo unatumika kwa all nokia symbian phone. Kama nimekosea basi hakuna anaejuwa yote, lakini nahisi bado nipo sahihi hadi pale nitakapokoselewa.@binmgen
nokia kwenye kuformat kwa code na mkono zinatofautiana mkuu kama alivyosema calvin yupo sahihi pia ni vyema tukaelimishana vyema
kama ni bb unaweza kuiflash mwenyewe kama os file unalo ni simple kuinstall
Mkuu hapo kwenye red sijakuelewa maana umetumia lugha ya kitaalamu zaidi, os file ndio ile cd inayokuja na simu au ni program gani hiyo mkuu? maana ile cd inayokuja na simu nimeinstall kwenye pc yangu na huwa naiupdate online. je ni hiyo ndio unaizungumzia naweza kutumia kuiflash mimi mwenyewe?
Sijabisha alichosema Calvin!, nilichofanya ni kuweka sawa baada ya kunikumbusha, utaratibu huo unatumika kwa all nokia symbian phone. Kama nimekosea basi hakuna anaejuwa yote, lakini nahisi bado nipo sahihi hadi pale nitakapokoselewa.
na manisha system file zima la cm mkuu
kama linapatikana online ebu tujuzane hiyo web na kuna free download? Kama inawezekana nijurishe tafadhali, other niwapelekee vijana wa mjini nao wapate kitu kidogo, ila ningependa zaidi kama nitapata mwenyewe hizo software ili niweze kuiflash mwenyewe, maana hapa jf mimi kwangu ni zaidi ya jukwaa, kwani kuna elimu kubwa tunaipata hapa kuliko wengi wanavyoweza kufikiri. Asante.
Kama unahitaji kuflash simu yako mwenyewe kwanza unatakiwa ujue aina ya simu yako.pili unatakiwa uwena flash box yake mf.HWK.INFINITY e.t.c ila kama hauna hivyo vifaa unaweza uka jaribu ku fomat mf. Samsung unatakiwa uwasha simu yako kisha uingize code hizi *2767*2878# baada ya hapo simu itakuwa imepona. Ila kama ni simu ya kichina unatakiwa uende setting kisha restore factor setting.simu itakuomba uingize code,ingiza 1122 kisha ok. Kwa ushauri zaidi tuma tuwasiliane via zedy2004@yahoo.co.uk
Kuna njia rahisi na simple ya kuprotect na kuui wezi!!!
ni program inatwa phone guard...
ukiinstall hii unajaza namba tatu za emergence mfano ya rafiki wa karibu na ndugu.
so simu ikiibiwa na kuwekwa line nyingine ambayo si yako uliyoweka wewe wakati wa kuinstalll basi kuna mesage itajituma kwenda namba tatu ulizozijazaga kipindi unainstall program
msg itasema hivi ""simu namba hii xxx ambayo ni yako imeibiwa na sasinatumika na mwenye namba hiii xxxx ambayo ya mwizi pamoja na imei yake na kama simu yako ilikuwa na GPS basi itaonyesha na sehemu ambayo inatumika,
pia itakuwa inatuma msg za siri kila baada ya muda ambao ulipanga wewe kukuonyesha msg na namba anazotumia kuwasiliana nazo mwizi wako so ni rahisi kumtrace.
pia huwezi kui unstall hiyo program hadi uweke code, na pia huwa inajificha huioni kwenye task manager na ina auto run kila simu ikiwaka.
kama simu haikuwa na hela msg itajituma akiweka pesa tu.
THE ONLY problem ni kwamba akii FORMAT DAHAAAAAAAAAA
GAME OVER!!!
Ila bado una IMEI namba kama ulisajiri simu yako unaweza kufungua kesi na kufatilia police wakupe barua na ukienda kwa ofisi za mtandao utapewa log ya mtu anayetumia simu yako na utamtrace!!!
pia unaweza ukaamua kuioblock so mtumiaji kila akiweka line ina andika restricted sim card!!
hapa tatizo ni kwamba akiweka line ya mtandao mwingine GAME OVER
labda kama ulisajiri kwa mitandao yote!!!!
>>nimesahau jina la ile program ila nitaiweka kwenye sehemu ya download na nitaianzishia thread if god wishes<<
cheers