Simu iliyoibiwa

kwa nokia kuna application katika ovi mail inajulikana kama advanced call manager hiyo ina feature zote kama hizo za samsung ikiwemo ya kublock namba moja moja isikupigie tatizo inauzwa sio free,ipo ya free lakini all other features zimekua disabled isipokua ya call baring
 
Mkuu vipi kuhusu hizo customer care centres za samsung? Hawa jamaa hawapatikani kwa simu. Pia nataka jua kama ninaweza kuisajili simu iliyoibiwa kwani ninayo IMEI yake.
 
natumia sumsang U900 nimeenda kwenye mobile tracker ila wanataka password tusaidieni password wataalamu..
 
ingiza password code 8 digits then confirm it...nenda kwenye option-iko ''off'' weka ''on'' then nenda kwenye name list weka majina ya namba zako zingine.......ur done!! for help go here
 
KUNDASENYI
kama simu uliinunua mpya dukani...then u will be the first person to put password, weka 8 digits ya password then rudia tena...kama uliinunua kwa mtu huenda akawa tayari keshaiweka password na wakati wa kuiuza kasahau ku-reset,hapo sasa itakuwa ngumu kujua password
 
Back
Top Bottom