Simu hizi ni balaa

Simu ni hatari sana... Kuna mdada aliachaga simu chaji na kwenda kuoga Ile kurudi c kakuta jamaa yake anayo, mbona alizimia ukizingatia haikua na password
 
siweki passwrd na wala siifichi..... angalizo simu yangu itakupa ugonjwa wa moyo.....usiiguse.
 
Simu ni private property haina ubia kwenye mahusiaono yeyote ya kimapenzi. Hata ya ki ndoa. So kila mtu abaki na yake. Its a pure ptivate propery ku snoop simu ya mpenzi wako ni trespassing

Anakufunulia uchi, akufiche simu?? Yote heri!! Nakumbuka simu ilimsaidia jamaa yangu kumjua mchawi wa maisha yake halafu ilikuwa amuoe!! Tokea hapo nikajifunza kitu.

Hata nilipokuwa naanza mahusiano na huyu mke wangu nilimuwekea mazingira ya kuaminiana kuanzia simu mpaka vinginvyo. Kama unafanya umalaya wako fanya kwa njia zingine, ukiona simu inafaa basi fanya ila siyo sababu ya kuficha!!

Mke wangu yupo huru sana na simu yangu na mie pia!! Unaweka mi password mpaka siku ukizima ghafla na simu inatupwa?? For what??

Kama tumeamua kuaminiana basi tuaminiane kwa kila kitu kwenye hii dunia na si vinginevyo!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom