Simu hizi ni balaa

Dejane

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
49,611
68,507
Kuna rafiki yangu kanichekesha hapa alienda kwa mpenzi wake ,ghafla mpenzi wake akamuambia naomba simu yako,heeee rafiki yangu si akampa simu huku machozi yanatiririka ,haahha..,,mpenzi wake akamuambia yaan simu tu unalia jamani kha
Yaan ananisimulia jinsi ambavyo akiombwa simu anakuwa hana amani anatamani hadi kulazwa

Ombi,ruksa kushikana na sio kushikiana simu aigooo
 
Simu ni private property haina ubia kwenye mahusiaono yeyote ya kimapenzi. Hata ya ki ndoa. So kila mtu abaki na yake. Its a pure ptivate propery ku snoop simu ya mpenzi wako ni trespassing
 
Je kama nimemnunulia hiyo simu, napo siwezi kuiangalia?.
 
Si bora hizo picha za ajabu, ile unampa tu simu mpya inaingia sijui utamwambia aipokee
ndiyo hapo ila yote kwa yote MTU unae mpenda kwa dhati haupo tayari kumtesa, kwahiyo usaliti huchangiwa sana na wahusika mmoja wao kutokuwa na penzi LA kweli, au wote wawli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom