Simu haitoi tena mtetemo (Vibration)

anjnr

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
539
208
Ni simu aina ya Infinix NOTE 7. Ghafla iliacha kutoa vibration. Nimehangaika kufanya settings bila mafanikio, nimejaribu ku-restart simu wapi. Kipi naweza kufanya wataalam?
 
Ni simu aina ya Infinix NOTE 7. Ghafla iliacha kutoa vibration.. Nimehangaika kufanya settings bila mafanikio, nimejaribu ku-restart simu wapi. Kipi naweza kufanya wataalam?
Umecheki kitufe cha DO NOT DISTURB?
 
Kama ulikuwa unaitumia kwenye chaji notification ikiingia inavaibrate basi ushauwa hiyo yakwenda kubadilisha
 
Weka simu yako sauti mpaka mwisho halafu jaribu kupiga hii audio uone kama ita vibrate
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom