Simu haisomi airphone....

Simu haisomi airphone....

Simeone

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2018
Posts
1,149
Reaction score
1,295
Habari wakuu....simu yangu mbona kila nikichomeka airphone inaongea kotekote yaani kwenye simu inaongea na airphone inaongea na haisomi kwamba nimechomeka airphone shida ni nini hapo.
Natumia TECNO POP 2 PLUS (BA2).
 
Earphones
 
Badili earphones tatizo litaisha...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom