Simu gani ya ukweli?

iphone 3gs mamii,nafurahia kila tendo inanifanyia,verry fast and smart phone:)

Aisee...Tena sana mkuu.. Kuanzia kwenye kuchat kwenye Nimbuzz hadi kwenye kufanya Malipo kutoka kwenye Bank account kwenda nje ya nchi..!! Hawa jamaa wa Apple ni wamewapiga chini Nokia na wenzie. Huhitaji kukaa kwenye Laptop ukiwa na haka kajitu Iphone.

Ila mshauri mkuu asiingie kichwa kichwa Mlimani city zipo zile zenye vi speaker pembeni..Veri funi wachina hawana adabu na bidhaa za watu.
 
Mimi natumia Sony Ericsson Satio ni simu bomba tu na imetulia kabisa!
 
Aisee...Tena sana mkuu.. Kuanzia kwenye kuchat kwenye Nimbuzz hadi kwenye kufanya Malipo kutoka kwenye Bank account kwenda nje ya nchi..!! Hawa jamaa wa Apple ni wamewapiga chini Nokia na wenzie. Huhitaji kukaa kwenye Laptop ukiwa na haka kajitu Iphone.

Ila mshauri mkuu asiingie kichwa kichwa Mlimani city zipo zile zenye vi speaker pembeni..Veri funi wachina hawana adabu na bidhaa za watu.
Mkuu nisaidie hapo sina idea How?
 
Mkuu nisaidie hapo sina idea How?

Mkuu I phone ina zaidi ya 10,000 applications ambazo unaweza ku download, Zingine ni free na zingine unalipia.

Moja wapo ya hizo zipo website za mabenki makubwa ambayo kama una akaunti huko unaweza kudownload na kutumia bank information zako katika kununua vitu na kulipia bills zako pamoja na kufanya malipo ya nje mfano wale wenye kununua magari Japan,huhitaji kwenda kuweka foleni bank kusubiri kufanya malipo hayo. Ila nadhani hili lipo kwa wenzetu zaidi.

Si hivyo tu bali categeries zilizopo kwenye app ni nyingi kiasi kwamba huwezi kuchoka kufanya jambo uwapo na simu yako ya Iphone. Ina uwezo mkubwa kabisa wa kupata wire less network kuliko hata uwezo wa Laptop yangu nyumbani. Jaribu hii mkuu.

Na ushauri wangu ni kutokununua simu hii kwenye ma website yaliyopo kwenye internet mfano ebay na sehemu zingine tofauti na wakala wa apple kwani unaweza kuangukia pabaya, Kama kawaida zipo kwa grade A,B na C.
 
if the posters wishes are going to be respected then i beg to differ,as iphone 3gs or any iphone for that matter is not the right choice.first it is not a phone with full specs,you just can not do anything work-worth with it.emails and apps yes,but work NO.the fact that it does not support flash and other native office/productivity capabilities make it a poor choice.(although most apps try hard to cover these misfortunes-they haven't won here).

Owning an iphone in TZ is like owning a blackberry without BIS.that piece of metal is just useless!!

mnamwambia atanunua apps,have you thought odf the fact kuwa he needs an itunes account!which will require him to either have a credit card or be a geek?

Manafahamu kuwa Itunes hawana store Tanzania,so he will just be wasting his money even if he uses his credit card to buy get an itunes account?

and apart fro itunes US.EU and Few asian countries most african countries are not even supported by majority of apps.

sasa mnasema atatumia kiphone kufanya online transactions through his phoe,j have you guys ever looked at how pathetic our bank's websites are?!let alone mnamwambia bank yake itakuwa na app ya ipho0ne?kama walishindwa a plian html usable website wataweza vipi kuwa na online banking platform inayofanya kazi with iphone?!

another thing most iphone worthy apps needs a stable internet connection,sasa hizo net zenu za 56kb nazo za kumshauri mtu kununua simu itakayofanya full rendering ya website?how long will it take him to view a full functional website?

my suggestion,an iPhone is not a phone for poor countries like TZ especially with all the restrictions that comes with it,get an android,Winmo or a symbian,not any closed platform.
 
hope umepata majibu mazuri ya ulichoitaji namalizia hapa kwamba kwa ss cm pekee itayokufaa kulingana na maitaji yako ni iphone 3g or 3gs, nokia N97 or latest htc windows mobile ukifanikiwa usisite kutujuza hapa jf
 
wana jf natafuta cm ya ukweli yenye pdf, flash player,internet isurf kama computer,quick office,yenye kudownload file,software, inayo update software ka computer, yenye memorie kubwa,windows media,
watu wananiambia blackberry ndo yenyewe, but wengine wananiambia nokia plz ka kuna m2 mwenye cm yenye izo features zote ka zilivyotajwa anisaidie.

kutana na wenzio hapa http://www.gsmarena.com/ watakwambia yote kuhusu cmu zote hata ambazo hazijaingia sokoni

hp ipaq 914 iko kama computer os yake ni windows mobile but iko slow compared to bb and iphone. but haina restriction kwenye emails na instant messaging kama bb

Wana sema the new HP iPAQ Glisten wameimprove speed
 
if the posters wishes are going to be respected then i beg to differ,as iphone 3gs or any iphone for that matter is not the right choice.first it is not a phone with full specs,you just can not do anything work-worth with it.emails and apps yes,but work NO.the fact that it does not support flash and other native office/productivity capabilities make it a poor choice.(although most apps try hard to cover these misfortunes-they haven't won here).

Owning an iphone in TZ is like owning a blackberry without BIS.that piece of metal is just useless!!

mnamwambia atanunua apps,have you thought odf the fact kuwa he needs an itunes account!which will require him to either have a credit card or be a geek?

Manafahamu kuwa Itunes hawana store Tanzania,so he will just be wasting his money even if he uses his credit card to buy get an itunes account?

and apart fro itunes US.EU and Few asian countries most african countries are not even supported by majority of apps.

sasa mnasema atatumia kiphone kufanya online transactions through his phoe,j have you guys ever looked at how pathetic our bank's websites are?!let alone mnamwambia bank yake itakuwa na app ya ipho0ne?kama walishindwa a plian html usable website wataweza vipi kuwa na online banking platform inayofanya kazi with iphone?!

another thing most iphone worthy apps needs a stable internet connection,sasa hizo net zenu za 56kb nazo za kumshauri mtu kununua simu itakayofanya full rendering ya website?how long will it take him to view a full functional website?

my suggestion,an iPhone is not a phone for poor countries like TZ especially with all the restrictions that comes with it,get an android,Winmo or a symbian,not any closed platform.

Do umeisagia iPhone kweli kweli mpaka nashangaa,

mimi binafsi ninatumia iPhone na nimeweka application kibao na sina account ya iTune .

to be honest iPhone ndio simu la ukweli yani.
 
Nokia
brand unajulikana sana. Kuna simu za E- series( Eg E72) kuna simu za N-series ( eg N-900)

NB
  • Nokia E series ni model ilitengenzwa kushindana na blacbery.
  • Sababu ya brand yao iko juu Nokia original bei zao ziko juu sana
LG
Try to check LG GM750 or LG
SAMSUNG

Omnia i900 ma some series

Kuna simu nyingine zinatwa HTC nasikia ni nzuri
Nokia E8800
 
Back
Top Bottom