Habari zenu wanajukwaa hii, Leo nimekuja kutoa ushuhuda wa simu feki hasa kutoka kampuni ya samsung na nyingi hupatikana maeneo ya Kariakoo. Watu wengi wamekuwa wakijinadi wanauza simu za samsung kwa bei nafuu, original na with full accessories.
Ukweli ni kwamba simu hizo sio ORIGINAL (genuine international/US version), Simu hizo ni KOREAN version ambazo hutengenezwa na cheaper materials compared to the geniune phones.. Mfano utakuta unauziwa Galaxy Note II ambayo kwenye box ina model ya GT-N7100 (international version) wakati machine ni KOREAN version (SHV-E250s OR SHV-E250L send IMEI kwenda 15090 kuverify).
Watanzania wenzangu ukitaka original samsung devices nenda kwa dealers wa samsung ambao hutoa e-warranty ya miaka miwili, epukana na korean version huku ukiamini ni geniune galaxy phone.
Asanteni