Malaika wa Kifo
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 4,089
- 4,733
sikutoka mbali sana nlianza na nokia 6600,
lg hii nimeisahau model ila ilikuwa ya kufunua,
nokia mchina
,nokia x2-01,
asha 302,
nokia 10...?
na nokia lumia 620 ambayo nimeibrick jana,
sasa nirudi nokia ya tochi kisha nirudi lumia 625
lg hii nimeisahau model ila ilikuwa ya kufunua,
nokia mchina
,nokia x2-01,
asha 302,
nokia 10...?
na nokia lumia 620 ambayo nimeibrick jana,
sasa nirudi nokia ya tochi kisha nirudi lumia 625