Wanalo ila halina maana, mara ya mwisho kujiunga 2gb kwa 1500Hivi voda wanalo bando la usiku la internet kuanzia saa 6 usk had saa 12..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Line nyengine zinasoma kwenye hio simu? Tigo/airtel/halotel/zantelHabari ya usiku waungwana, kama kuna mjuzi anisaidie kutatua tatizo langu.
Nina simu yangu aina ya TECNO, line za voda hazisomi yaani kila nikiweka inasomeka "No Service". Hii haijalishi nikibadilisha "Slot" yaani kote kote haisomi, ika nikiweka katika simu ndogo aina ya kitochi line za VodaCom zinasoma bila shida yoyote.
Hili tatizo lina sababishwa na nini na vipi naweza kulitatua ?
Natanguliza shukrani.
Wanalo ila halina maana, mara ya mwisho kujiunga 2gb kwa 1500
Halotel, sema hakikisha una kifaa kizuri cha 4g chenye band 2600. Wanatoa unlimited hivyo ukiwa na speed kubwa zaidi unafanya mambo mengi zaidiOkay, ni mtandao upi wanatoa internet nzuri kwa usiku maana ttcl yao ipo slow sana siku hizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Halotel, sema hakikisha una kifaa kizuri cha 4g chenye band 2600. Wanatoa unlimited hivyo ukiwa na speed kubwa zaidi unafanya mambo mengi zaidi
Habari ya usiku waungwana, kama kuna mjuzi anisaidie kutatua tatizo langu.
Nina simu yangu aina ya TECNO, line za voda hazisomi yaani kila nikiweka inasomeka "No Service". Hii haijalishi nikibadilisha "Slot" yaani kote kote haisomi, ika nikiweka katika simu ndogo aina ya kitochi line za VodaCom zinasoma bila shida yoyote.
Hili tatizo lina sababishwa na nini na vipi naweza kulitatua ?
Natanguliza shukrani.
ndio mkuu inafaa,LTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 8(900), 12(700), 13(700), 17(700), 20(800), 28(700), 38(2600), 40(2300), 41(2500), 66(1700/2100)
Hizo ndi band zake
Sent using Jamii Forums mobile app
Line nyengine zinasoma kwenye hio simu? Tigo/airtel/halotel/zantel
kuna possibility labda imei yako imekuwa blacklisted kwao, jaribu kuwasiliana nao voda.Zinasoma bila shida kabisa.
Okay. Shukrani kwa muongozo.kuna possibility labda imei yako imekuwa blacklisted kwao, jaribu kuwasiliana nao voda.