Simu Card za VodaCom hazisomi kwenye simu yangu naomba ufafanuzi

Biisa

JF-Expert Member
Jan 13, 2019
513
543
Habari ya usiku waungwana, kama kuna mjuzi anisaidie kutatua tatizo langu.

Nina simu yangu aina ya TECNO, line za voda hazisomi yaani kila nikiweka inasomeka "No Service". Hii haijalishi nikibadilisha "Slot" yaani kote kote haisomi, ika nikiweka katika simu ndogo aina ya kitochi line za VodaCom zinasoma bila shida yoyote.

Hili tatizo lina sababishwa na nini na vipi naweza kulitatua ?

Natanguliza shukrani.
 
Line nyengine zinasoma kwenye hio simu? Tigo/airtel/halotel/zantel
 
LTE band 1(2100), 2(1900), 3(1800), 4(1700/2100), 5(850), 7(2600), 8(900), 12(700), 13(700), 17(700), 20(800), 28(700), 38(2600), 40(2300), 41(2500), 66(1700/2100)

Hizo ndi band zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari ya usiku waungwana, kama kuna mjuzi anisaidie kutatua tatizo langu.

Nina simu yangu aina ya TECNO, line za voda hazisomi yaani kila nikiweka inasomeka "No Service". Hii haijalishi nikibadilisha "Slot" yaani kote kote haisomi, ika nikiweka katika simu ndogo aina ya kitochi line za VodaCom zinasoma bila shida yoyote.

Hili tatizo lina sababishwa na nini na vipi naweza kulitatua ?

Natanguliza shukrani.

Kawaulize tigo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom