ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,362
- 4,125
Mkuu simu hizi zipo Bongo? bei yake kibongobongo ikoje?Askwambie mtu!, inakaa na chaji mpaka unasahau kama hii ni android. Sema nzito kishenzi. Uroho wangu wote wa kutumia simu kwa fujo hapa umeisha. Inakaa na chaji kuanzia wiki na kuendelea. Jipimie mwenyewe hapo.
5.5-inches
RAM 2GB
Betri 10,000mAh
Network 4G
Nina mpango wa kutumia android rugged phones, hizo kwa kukaa na chaji Oukitel K10000 cha mdoli, zina zaidi ya 10000mAh, mixer 15000mAh.
imenivutia sana