Simu ambazo ni refurbished

Simu ambazo ni refurbished

Kwanza sio kweli kwamba asilimia kubwa ya simu mpya ni refurbished.

Simu ambayo ni refurbished ni ile ambayo ilikuwa used na ikarudishwa warranty center/service center kwaajili ya kuongeza pesa na kupata toleo lipya au kuiuza kwa bei ndogo ili kufidia gharama.

simu au kifaa kinachokuja na manufacturer defect na kurudishwa kiwandani hicho sio refurbished kwani aidha wanaweza kutumia parts zake kwaajili ya simu/kitu nyingine au wanaweza kuirudisha kwenye mchakato mzima wa reproduction kama simu singine mpya , au wanaweza kuiteketeza (Destroy) kulinda brand yao.

'Refurbished phones': what does it mean? The term 'refurbished phone' generally refers to a pre-owned handset that has been sent back due to a fault and has been repaired for re-sale. ... Before being put on sale, all refurbished phones have been thoroughly checked and tested to ensure they're in full working order.

Nakubaliana na wewe 99.9998%
 
daaah,hii kitu nimeiona arusha maduka ya benson,kitu ni kile kile lakin ukienda kwa benson bei wameidouble kama mara nne na zaidi...
hao ndio wale ukiirudisha simu ina corona,anaichukua anairudisha ktk box anakupa nyingine.hamns story za iache hapa choo uchukue kkutwa.
 
Na je iPhone na Samsung huwa kuna matoleo yao ambayo huwa yanatolewa copy
Copy kamwe haitafanana na original ndomana ikaitwa copy kama hujui original ikoje bac ni rahisi kupata copy ila kwa uhakika nunua sehemu za kuaminika mtu awezi kuwa na mzigo wa million 50 alafu akajiaribia uaminifu wa kuuza copy

Samsung galaxy note 3 snapdragon
 
Noo need ya kunilipa man. Nenda Maduka mahsusi (Stores) huko utapata bidhaa husika

Au mnasemaje mods wa JF
Yaah kuna maduka makubwa wanaweka mzigo wa pesa ndefu na utapata warranty ya mwaka mzima sio rahisi kukuuzia kifaa kisichofaa uaminifu ndo jambo muhimu kwao. Hivyo u shauri wako ni mzuri sana

Samsung galaxy note 3 snapdragon
 
80% ya simu zote za samsung na iphone zinazouzwa apa tanzania ni refubrished na hii inakokana na kwamba simu ambazo ni brand new kabisa uwa ni bei kali mno kulingana na izi za refubrished ivyo kama unataji simu mpyaa kabisa usiwe na pesa ya kubabaisha ofisa
Kweli kabisa, mfano zile I phones za Makumbusho na Kariakoo. Mimi nikitaka simu kwa siku hizi hiwa naenda kununua kwa Certified Supplier either wa Samsung au Apple Store
 
Back
Top Bottom