Simu aina ya O2 imenishinda kutumia!

Simu aina ya O2 imenishinda kutumia!

qq.com

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2012
Posts
367
Reaction score
123
Wadau,nimepata simu (pichani) inayoitwa O2 window phone kutoka UK* lakini baadhi ya matumizi yake ymamenishda hsa issue ya kujua status za calls na kusave majina: wajuzi naomba mjuzi wa hizi simu na faida zake anijuze;naona kama ni mzigo kutembea na li-simu kubwa hivi.

moja 1.jpgtwo 2.jpeg
 
Tangaza bei mkuu....kikushindacho wewe kitamfaa mwingine....kwa sisi watu wa security inatufaa sana
 
hiyo ina run windows mobile so kama imekushinda nadhani imekushinda kwa mazoea ya kutumia nokia za symbian. Simu za windows mob almost zote matumizi yale yale
 
Afu hiyo kitu inafanana na jiwe fulani nililokuwa nalo mwaka juzi aina ya Qtek lilokuwa na windows mobile 2003SE ila la kuslide kuelekea mbele
 
Uza nunua unayoiweza au la Jifunze kuitumia -->RTM

Yakishindikana yote hayo toa zawadi ya Chrismass au Mwaka mpya!
 
Back
Top Bottom