comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,218
- 16,447
Sijakuelewa mkuuOya hio biashara ni hapo kwenye kutokuhifadhi bacteria na fungus, ila mambo ni yale yale
Chombo cha udongo ni chombo cha udongo Chupa ya chai ni ile ile tofauti ni brand.. hujaelewa nini?Sijakuelewa mkuu
Kutokuhifadhi bacteria na fungasiChombo cha udongo ni chombo cha udongo Chupa ya chai ni ile ile tofauti ni brand.. hujaelewa nini?
Ndio mengine yanahifadhi na wanatesa balaa hao bacteria na fungus ni balaaKutokuhifadhi bacteria na fungasi
Linafanyiwa usafi kila bada ya mda ganNdio mengine yanahifadhi na wanatesa balaa hao bacteria na fungus ni balaa
Mmmh hapo ni wewe tu ila si umeambiwa halifugii fungus wala bacteria au?Linafanyiwa usafi kila bada ya mda gan
Umelewa?Mmmh hapo ni wewe tu ila si umeambiwa halifugii fungus wala bacteria au?
Hapana hajasemaMmmh hapo ni wewe tu ila si umeambiwa halifugii fungus wala bacteria au?
Kuelewa muda mboni bado mkuu ndio kwanza saa 6 usiku hii nalewaje sasa?Umelewa?
Bango lako linasemaje?Hapana hajasema
Wewe unamuelewa kabisa huyu jamaa?Hapana hajasema
Jamaa simsomi ujue sijui shida niniWewe unamuelewa kabisa huyu jamaa?
Sawa mkuukama unanunua kati ya lita 500 hadi 3000, chukua lolote; Ila kama unachukua kubwa kuanzia lita 5000 HADI 10,000 hivi ndio unatakiwa uwe mwangalifu.
Muhimu pia;
Ili Tank la maji lidumu, linatakiwa likae kwenye kivuli au kama hakuna kivuli lisikae bila maji muda mwingi
Sio kweli haya matank yametofautiana sana kwa ubora wake yapo ambayo sio imara na imara zaidi..Chombo cha udongo ni chombo cha udongo Chupa ya chai ni ile ile tofauti ni brand.. hujaelewa nini?
Imara ni yapi na yasio imara ni yapiSio kweli haya matank yametofautiana sana kwa ubora wake yapo ambayo sio imara na imara zaidi..
Sipo kutangaza biashara ya mtu mkuu jua hivyo tu.Imara ni yapi na yasio imara ni yapi