Simshangai Leticia Nyerere

Simshangai Leticia Nyerere

leticia nyerere ni mzalendo haswa ametangulia maslahi ya nchi mbele

www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/688850-ubaguzi-huu-na-makundi-ndani-ya-ccm-ni-kwa-faida-ya-nani.html#post10045929

Kamalizaneni kwanza we gamba!
 
haa, mi nilifikiri ni mtoto wa hayati baba wa taifa. kumbe ni hayawani aliyemsaliti mtoto wa baba wa taifa madaraka nyerere, sasa anatakiwa hata hilo jina anyang'anywe analinajisi jina lilotukuka, bila mleta uzi huu nilikuwa najua ni mtoto wa hayati baba nyerere

Mkuu, huyu ni mtoto wa Mzee Mageni Musoni mwenyeji wa pale Ngudu Kwimba. So majina yake halisi ni LETICIA MAGENI MUSONI. Hili la Nyerere anaforce tu maana alishapewa talaka na Madaraka Nyerere long time. Tena talaka ya mahakamani kbs. So its a divorce not separation. Na kwa mujibu wa sheria ya ndoa unapodevorce unapoteza haki zote ulizokuwa nazo awali kwa mtalaka wako, ikiwa ni pamoja na haki ya kutumia jina lake. Ndio maana after divorce watu hugawana vyao then kila mtu hushika njia yake.!
 
Aliyeleta pesa, alileta mfarakano,
Mioyo ya watu imeteka, inaleta utengano,
Mwenye kumiliki nyingi pesa, aweza fanya lolote agano,
USALITI HUU WA UKOMBOZI, SIMSHANGAI LETICIA NYERERE.

Yesu aliuzwa kwa wayahudi, sababu ilikua pesa,
Hata John aweza jiita "Iddi", kama ukimuahidi pesa,
Leticia mwana wa Mageni Musoni, shilingi inamtesa,
USALITI HUU WA UKOMBOZI, SIMSHANGAI LETICIA NYERERE.

Laki tatu na nusu kwa siku, nani asiyezitaka?
Wakulima wa tumbaku, wazipata mwisho wa mwaka,
Waalimu wenye uzoefu, mwezi mzima wazisaka,
USALITI HUU WA UKOMBOZI, SIMSHANGAI LETICIA NYERERE.

Leticia Madaraka Nyerere, pesa imempofusha,
Hawezi tena kuona mbele, kisa posho za Katiba,
Hata akila matembele, macho yake keshaziba,
USALITI HUU WA UKOMBOZI, SIMSHANGAI LETICIA NYERERE.

Mwizi huanza kama kibaka, akizoea haogopi tena kelele,
Leticia alimsaliti Madaraka, kitindamimba cha Mwal.Nyerere,
Mahakamani akadai talaka, lakini akaendelea kujiita "Nyerere"
USALITI HUU WA UKOMBOZI, SIMSHANGAI LETICIA NYERERE.

Mahakama ingempa mipaka, asitumie tena jina Nyerere,
Hakuna Nyerere kibaka, wala mwenye kiherehere,
Apendaye pesa za "mbaka", na kuweka tamaa mbele,
USALITI HUU WA UKOMBOZI, SIMSHANGAI LETICIA NYERERE.
Wasaliti ni wale wanao baka katiba yao!

Wasaliti ni wale wanao kubali kuburuzwa kama wewe ili upate uenyekiti wa Bavicha!

Wasaliti ni wale wanao acha shughuli za wananchi na kwenda Dubai!

Wasaliti ni wale wanao shindwa kujenga ofisi kwa kutafuna Ruzuku!

Wewe na kushauri ukafungue kanisa uanze kuhubiri!
 
Leo Leticia anaonekana msaliti. maneno ya kashfa. Mlipomteua kuwa mbunge viti maalum hamkujua kuwa alitalikiwa na Madaraka Nyerere?
Amewahi kugombea ubunge wa Sadc kwa baraka za chadema, leo anaitwa majina mengi.
Demokrasia gani hiyo?

Too low. Yani kwa kugombea huo ubunge ndo kunamwondolea sifa ya usaliti?
 
Mimi kuanzia mwanzo niliisha wahi sema humu jamvini kuwa sikuelewa criteria waloztumia kumpa viti maalumu huyu Leticia,kwanza nasikia anaishi Marekani,sasa alichaguliwa kivipi ili awakilishe viti maalumu DIASPORA au sijui nini,pili CHADEMA wajifunze kutokana na ili namna ya kuteua viti maalumu,kuna watu wengi wamejitoa muhanga kwa ajili ya chama hicho lakini they are not recognized au appreciated ,badala yake watu wanaibuliwa bila transparency na kupewa viti maalumu.Pia kwenye uchaguzi ujao ni bora kuwa na wabunge wachache lakini watiifu,iwe mwiko na marufuku kudandia watu walioenguliwa CCM kwenye kura za maoni na kuwapigia debe wawe wabunge,nadhani mmejifunza darasa zuri kuwa asilimia kubwa ya rejected za CCM baada ya kupata ubunge wamekuwa popo,hawana misimamo na wengi wao wanatanguliza maslahi yao binafsi na matumbo yao.Sitashangaa kumsikia na yule wa Maswa naye karudi Bungeni la katiba
 
Hivi ule uzi kuhusu kuishi nchi gani sijui na sababu za kupewa ubunge mlijibu nini tena????!!!!
Mbona yaliandikwa mengi tu lakini "mlishupaa"????!!

Vumilieni tu next time mtakuwa makini zaid

Hawatokujibu kitu
 
Wasaliti ni wale wanao baka katiba yao!

Wasaliti ni wale wanao kubali kuburuzwa kama wewe ili upate uenyekiti wa Bavicha!

Wasaliti ni wale wanao acha shughuli za wananchi na kwenda Dubai!

Wasaliti ni wale wanao shindwa kujenga ofisi kwa kutafuna Ruzuku!

Wewe na kushauri ukafungue kanisa uanze kuhubiri!

Hahahaah.! Sigombei BAVICHA kiongozi. Hata ningegombea isingenizuia kuwa na mawazo huru.
 
monsoor himidi aliyekuwa wazi wa kilimo zenji siyo msaliti?? chadema ndo kuna wasaliti tu ccm hakuna??
Leo Leticia anaonekana msaliti. maneno ya kashfa. Mlipomteua kuwa mbunge viti maalum hamkujua kuwa alitalikiwa na Madaraka Nyerere?
Amewahi kugombea ubunge wa Sadc kwa baraka za chadema, leo anaitwa majina mengi.
Demokrasia gani hiyo?
 
Leo Leticia anaonekana msaliti. maneno ya kashfa. Mlipomteua kuwa mbunge viti maalum hamkujua kuwa alitalikiwa na Madaraka Nyerere?
Amewahi kugombea ubunge wa Sadc kwa baraka za chadema, leo anaitwa majina mengi.
Demokrasia gani hiyo?

Wewe wa Ipogolo ipi watu wa Ipogolo sio ........ kiasi hiki,.
 
Nashukuru kufahamu kumbe sio nyerere wa ukoo bali ni jina la kukopa kwa mume ambaye keshamuacha inabidi arudie jina lake kwa kweli inatia uchungu kutumia jina la nyerere wakati anafanya upuuzi
 
huyu ni kimeo,kumjadili ni kupoteza muda au kumuongezea status.
je huyu si ndiye aliyesema vianzishwe vyuo vya kufundisha kutongoza ili wanaume wasiwe woga wa kutongoza??!!!
hiyo ni moja ya argument ya mbunge mwenye masters!
 
Hahahaah.. anawaza kutongozwa tu.
 
Mtasema yote na chama lenu la kikabila leti amekuja dodoma kutetea watanzania wange nyie na ubaguzi wenu nyamazeni.

Kama Mwanademokrasia wa Kweli na FITIKA KWAKO MWIKO; Wapi Umeona chama hicho yaani CHADEMA ni cha kikabila? Bila ya USHABIKI wa VYAMA hiyo statement yako Unaweza ku-prove ?

Sababu chama hicho kisingesajiliwa hapa NCHINI na Ukabila huo unaweza kuuelezea? Kwasababu watu hao unaowashutumu ni Mkoa Mmoja lakini Makabila yake yana mila na Desturi zao Tofauti kabisa hadi LUGHA zao ni tofauti...

NI Imani gani inayokumbua ndani ya MOYO wako kutueleza Habari kwa wengine NCHINI wasio na Maendeleo kama uliyonayo ya kuwa na access ya kufanya UCHAMBUZI na KUSOMA Historia njema kama hiyo uliyoipata ya kuwa chama hicho ni cha kIBAGUZI?

Udadisi wako huo Unaweza kuuchangia kwa Ki Maandishi? Wengine tusio na Uwezo wa kielimu kama wako TUNGEPENDA sana kupata na kusoma habari na sisi pia tuwe na Uwezo wa kujua kuwa CHAMA hicho ni CHA KIBAGUZI wa KIKABILA? na tofauti yake na VYAMA VINGINE mfano CUF.... au... CCM?

Na swali la kujiuliza ndani ya MOYO wako - UNAIPENDA NCHI YAKO? au UNAPENDA BLOODSHED? tuwe kama IRAQ ? Ugomvi wao ni wa Ukabila wa KIDINI na nchi hiyo tajiri sasa ni UWANJA wa BLOODSHED and BLOODLOOSE ???

c.c
Simiyu Yetu

Mtasema yote na chama lenu la kikabila leti amekuja dodoma kutetea watanzania wange nyie na ubaguzi wenu nyamazeni.

Next time kama huna cha kucomment ni vema ukae kimya kuliko kuonesha uwezo wako wa kufikiri ulivyo.!
 
leticia nyerere ni shujaa .mtetezi wa wananchi wanyonge
 
Wasaliti ni wale wanao baka katiba yao!

Wasaliti ni wale wanao kubali kuburuzwa kama wewe ili upate uenyekiti wa Bavicha!

Wasaliti ni wale wanao acha shughuli za wananchi na kwenda Dubai!

Wasaliti ni wale wanao shindwa kujenga ofisi kwa kutafuna Ruzuku!

Wewe na kushauri ukafungue kanisa uanze kuhubiri!

kumbe na huyu malisa anafukuzia cheo bavicha? njaa mbaya sana anatamani amlambe mbowe miguu ili apewe cheo
 
Back
Top Bottom