Malisa Godlisten
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 202
- 1,588
Huyu mwanamke ndo maana ananangania jina wa watu
Wee si unaona hata wenyewe wenye jina wanavyo mvurumishia (kama alivyobwatukiwa na Makongoro last year?) maneno ya hovyo kila mara lakini yeye kang'ang'ana tu na jina la ukoo wa watu kisa jina kubwa. Mwenyewe hudai ati tu kwa sababu alipata kuolewa huko hawezi badilisha jina tena....
Huyu dada angekuwa ni mtu mwenye kupenda Chama chake, mwenye kujiheshimu, jitambua na kujijali asingefanya habari ya mambo ya watu wa barabarani namna hii. Huu ni umtovu wa nidhamu na hauvumiliki katika zoezi la kuleta ukombozi wa kweli. Amekuuwa kipofu wa akili na anachoona yeye ni pesa tu. Haoni maslahi mapana kwenye picha kubwa yanayopingwa na kupiganiwa na wana UKAWA.
Wahenga walisema Quote..."mnapokuwa safirini kwenye mashua (boti) na ikatokea mwenzenu mmoja analeta (hujuma) mchezo wa kuitoboa mashua ni heri mumuwahi kwa kumrusha baharini pasipo huruma aangamie huko kuliko kuja kuangamia nyote kijumla jumla.
Mbona hata wewe umeachika tena mara mbili kwa aibu sana tu,mwambie mbowe na watu wake kama kweli wao wazalendo warudishe pesa walizojua ndipo wakazurule mitaani waliko.Kumbe mtu mwenyewe alishaachika na anaendelea kutumia jina la Nyerere Isivyo Hahali? Hili ni funzo kwa cdm kutokuwa makini ktk uteuzi wa hawa wabunge wa viti maalumu na nadhani halitajirudia tena.hawa wasaliti wa maoni ya watz hawafai kuwepo cdm na naunga mkono huyu chakubimbi afukuzwe mara moja kwani anatutia aibu sana sisi wasukuma wa Ngudu
Chadema kila mtu msaliti hilo liko wazi.Amerudi BMK kuenzi jina la aliyekuwa Baba Mkwe wake.
Lakini mbona dalili za usaliti zilishaanza kuonekana mda mrefu? Kumbuka alivyopendekeza JF ifungwe eti inawatukana viongozi wa nchi including baba wa Taifa.
Kumbuka Halima Mdee alivyomshukia baada ya kukinanga CDM ambacho ndiyo chama chake kilichompatia huo ubunge wa viti maalum.
Leticia atakumbukwa ktk historia ya nchi hii kwa usaliti wake
Mtasema yote na chama lenu la kikabila leti amekuja dodoma kutetea watanzania wange nyie na ubaguzi wenu nyamazeni.
Duuh,haya ni mapendekezo,Wee si unaona hata wenyewe wenye jina wanavyo mvurumishia (kama alivyobwatukiwa na Makongoro last year?) maneno ya hovyo kila mara lakini yeye kang'ang'ana tu na jina la ukoo wa watu kisa jina kubwa. Mwenyewe hudai ati tu kwa sababu alipata kuolewa huko hawezi badilisha jina tena....
Huyu dada angekuwa ni mtu mwenye kupenda Chama chake, mwenye kujiheshimu, jitambua na kujijali asingefanya habari ya mambo ya watu wa barabarani namna hii. Huu ni umtovu wa nidhamu na hauvumiliki katika zoezi la kuleta ukombozi wa kweli. Amekuuwa kipofu wa akili na anachoona yeye ni pesa tu. Haoni maslahi mapana kwenye picha kubwa yanayopingwa na kupiganiwa na wana UKAWA.
Wahenga walisema Quote..."mnapokuwa safirini kwenye mashua (boti) na ikatokea mwenzenu mmoja analeta (hujuma) mchezo wa kuitoboa mashua ni heri mumuwahi kwa kumrusha baharini pasipo huruma aangamie huko kuliko kuja kuangamia nyote kijumla jumla.
s i a s a zinachanganya sanaleo leticia anaonekana msaliti. Maneno ya kashfa. Mlipomteua kuwa mbunge viti maalum hamkujua kuwa alitalikiwa na madaraka nyerere?
Amewahi kugombea ubunge wa sadc kwa baraka za chadema, leo anaitwa majina mengi.
Demokrasia gani hiyo?
Acha bangi o nywana beMtasema yote na chama lenu la kikabila leti amekuja dodoma kutetea watanzania wange nyie na ubaguzi wenu nyamazeni.
wazirudishe kwa nani?Hao waliotoka nao warudishe zile walizochukua hapo awali.. maana kazi waliyofanya ni kazi ya bure kabisa....
Leo Leticia anaonekana msaliti. maneno ya kashfa. Mlipomteua kuwa mbunge viti maalum hamkujua kuwa alitalikiwa na Madaraka Nyerere?
Amewahi kugombea ubunge wa Sadc kwa baraka za chadema, leo anaitwa majina mengi.
Demokrasia gani hiyo?