Wanawake ni viumbe wazuri sana aisee. Asante Muumba.
Hata wanaume.......mara moja moja..........
Lakin sio kama mwanamke
Mwanamke mzuri na anaweza akakufanya usahau shida zote
Mtanzania na Cape Verde wanatisha
wapo wanaume watamu kama lalawa...........kama wangu nikimuangalia huwa siamini kama wangu..........aiseee........
mwanamke nyonga....!
![]()
wapo wanaume watamu kama lalawa...........kama wangu nikimuangalia huwa siamini kama wangu..........aiseee........
Wanawake ni viumbe wazuri sana aisee. Asante Muumba.
Hata wao hivyo hivyo kwetu.Lakin sio kama mwanamkeMwanamke mzuri na anaweza akakufanya usahau shida zote
Urembo unachangia kumfanya mwanamke aonekane mzuri.Wanawake ni viumbe wazuri sana aisee. Asante Muumba.