Simplicity MMU Award

Simplicity MMU Award

kwenye hiyo zawadi ya mil 2, kama nikishinda mimi naomba mkanikabidhie bar, maana kuna chimbo jipya nimeliona jana ni balaa, ukilewa unaanguka mtoni unaliwa na mamba, kwahiyo hamna kulewa hiyo.
 
Mie naendelea kusubiria michango na mapendekezo yenu, hela tayari nimeshaitenga kwa mwaka 2015.
 
Nasubiria michango yenye mantiki kuhusu hii award. Plesae do the needful!
 
Simplicity............ nipo mpendwa wengine tushazeeka tunaangalia dunia inavyokwenda na wakati. Mbio za farasi hizi mie ngamia ntaziweza wapi..............

Ila naua mkono hoja .... tuanze kwanza kwa kuinisha hizo tabia mbaya ambazo watu wanaambukizana.
 
Last edited by a moderator:
ahah umenikumbusha mbali Simplicity............. una ie thread ililetwa hapa na kama sikosei mtu aliita Teamo and keizar sina kumbukumbu nzuri ilikuwa unahusian na sharia mama za nyumba ndogo.............sitaki kuamini kuwa kuna waliocopy na kwenda kupaste kwenye maisha yao eh??
 
Wehu jf ni wengi, they copy and practice everthing!
 
Tusubiri mshindi wa hiyo 2m manake kuna watu walizaliwa na bahati zao kila shindano lazima ashinde. Ila tunaomba mdhibiti rushwa za aina zote zikiwemo za like lol
 
Back
Top Bottom