simple wedding

Bila shaka hawa ni jamaa toka Kilimanjaro!!
 
Napenda harusi za kijijini, hakuna invitation card, kila mtu anapewa chakula. Zamani tulikuwa tunawatembeza maharusi toka kanisani mpaka nyumbani kwa miguu, naona sasa kuna maendeleo bodaboda za tumika.
 
haina gharama hiyo japo dereva wa bodaboda alitakiwa awe bestman ili matron naye apate nafasi
 
yawezekana mpambe keshaoa ndo maana ana pete, na kama ujuavyo cheti cha ndoa akishachukua bwana harusi anamkabidhi bestman...

au mpambe kaivaa tu kwa urembo...
nway asante...
 
hii nitafurahi nikiiona kwenye tbc chereko
wamependeza sana, no complications kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…