Simple Research: Zitto Mwanasiasa aliyetajwa zaidi Oct-Dec 2013

Azizi Mussa

JF-Expert Member
May 9, 2012
8,815
2,000
Zitto ameonesha jitihada sana bungeni na ameonekana kuungwa mkono na watu wengi
 

12STONE

JF-Expert Member
Mar 16, 2013
1,109
1,475
Hitler alitajwa sana,Iddi Amin Dada alitajwa sana,wote hao ni madikteta,wamekufa lakini bado wanatajwa sana.
 

Sikonge

JF-Expert Member
Jan 19, 2008
11,534
2,000
Haya Mambo ya Kujuana, hatari sana. Adam alimjua Eva, wakazaa Mtoto wakamwita.......... Sasa Zitto akijuliwa na Watanzania si itakuwa kasheshe? Ohhh, kumbe ni watanzania? My bad kwani Watanzania wanaandikwa kwa herufi kubwa. Hawa watanzania acha wamjue.

Huyu Kujana ndiyo nani?
1.Ni kwa kiasi gani watanzania wanamjua na wanamuwaza Zitto.
2.Ni kwa kiasi gani watu wanampenda au kumchukia
3.Kwa kiasi gani watanzania wanamuwazia mema au mabaya mwanasiasa huyu kujana!
 

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
4,060
1,500
huu utafiti wako umetumia vigezo gani by interview, observation, participation e.t.c au unaleta fallacy zako huku kwa huyu msaliti
 

Incredible

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,031
2,000
Ni mwanasiasa msaliti aliyetajwa mara nyingi. Alafu jamaa yaani kumbe hana aibu. Yeye anajua machafu yote anayoyafanya kwa Chadema na anajua kwamba Chadema wanayajua, lakini haoini aibu. Lakini hata Yuda Isikariote, Yesu alimtaja mbele ya wanafunzi wote kwamba huyu ananisaliti. Wanafunzi wote walijua hilo, na Yuda aliendelea na mipango yake michafu na alilipwa pesa. Na alipo waleta watesi wa Yesu, alimbusu Bwana Yesu, ikiwa ni ishara watesi wajue Yesu ni yupi katika lile kundi. Basi, twaweza kuona kwamba Wasaliti huwa hawana aibu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom