Simple equation inayoitesa CCM na Taifa

Mkuu huo uchaguzi ambao CCM walipata ushindi wa kishindo wa asilimia 99.9 ulifanyika mwaka gani? na ulikuwa ni uchaguzi wa nini?.
 
Mkuu mtazamo wako unaweza ukawa sahihi lakini, sikubaliani na wewe kwenye bandiko lako unapo ongelea siasa safi ,.mapokeo ya wananchi juu ya vyama pinzani haimanishi kwamba hivyo vyama vina siasa safi hapana,
 
Lakini ujue huwezi ondoa takwa la mabadiliko ndani ya mioyo ya wananchi yatachelewa lakini yatakuja tu,muda hakimu mzuri.
Boss kagoshima Baada ya Uchaguzi Mkuu 2020, Tunarudi kwenye Mfumo wa Chama Kimoja, Hakuna Mpinzani atakayepewa Jimbo, Yaani tunashinda 100 % kwenye Udiwani, Ubunge na Urais. Jiandae Kisaikolojia Boss.

Kwani kuna Mtu au Watu ... Wanateseka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Magufuli mwenyewe hakihitaji chama cha CCM anahitaji chama mbadala, CCM anasema ni chama cha majizi na hakusema chagua CCM alisema chagua Magufuli.
 
wape salaam. waambie hatuwezi kurudi mfumo wa chama kimoja: ama zao ama zetu.
 
Siasa safi iko ndani ya CCM, na maendeleo yanaonekana, kumbuka Magufuli wa leo ni matokeo ya Upinzani ,huyu ndie Rais tuliemhitaji kama Taifa na Mungu katupa hitajo letu, mtangulizi wake mlimwita Dhaifu akawaletea Jembe Sasa munalalama
 
Siasa safi iko ndani ya CCM, na maendeleo yanaonekana, kumbuka Magufuli wa leo ni matokeo ya Upinzani ,huyu ndie Rais tuliemhitaji kama Taifa na Mungu katupa hitaji letu, mtangulizi wake mlimwita Dhaifu akawaletea Jembe Sasa munalalama
 
Boss kagoshima Unaelewaje hizi Kauli mbili aka 2 ??? !!!
1. Ole wenu Mkurugenzi na Wasimamizi, mtangaze Upinzani ... Mishahara nawalipa mimi, magari nawapa mimi ... endelea ...
2. Chaguzi za Serikali za Mitaa ... tulishinda kwa 99.9%, Uchaguzi Mkuu tutashinda kwa 100%.

Mwisho, Kwa mfano tu, CCM ije kushinda kwa 100% ina maana gani ??? !!! Si Chama kimoja ndicho kimeshinda???? !!!
Hauoni ndio Mfumo wa Chama Kimoja Indirect??? !!!


 
 
Huyu Pascal, tamaa ya tumbo lake tayari imeshaizidi akili yake ila nawaambieni hakuna mwanzo usio na mwisho.
 
Mkuu huo uchaguzi ambao CCM walipata ushindi wa kishindo wa asilimia 99.9 ulifanyika mwaka gani? na ulikuwa ni uchaguzi wa nini?.
Kwanza walikuwa wanashindana na kina nani? Unajuwa hawa CCM akili zao zinazidiwa na mtoto wa chekechea kabisa.
 
Siasa safi iko ndani ya CCM, na maendeleo yanaonekana, kumbuka Magufuli wa leo ni matokeo ya Upinzani ,huyu ndie Rais tuliemhitaji kama Taifa na Mungu katupa hitajo letu, mtangulizi wake mlimwita Dhaifu akawaletea Jembe Sasa munalalama
Hawa CCM wanaotwanganaga kila siku kwenye chaguzi za ndani na kwenye Vikao vyao vya ndani? Subiri kura za maoni zianze tena utaona. CCM ni chama kinachoendaga kwenye uchaguzi kikiwa na majeraha mengi ya ndani na mgawanyiko mkubwa. Rushwa na kujipendekeza kwenye teuzi na kura za maoni, ndio walimu hasaa. Sijui siasa safi zipi unazozungumzia.

Washukuru sana vyombo vya dola.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakitoka hapo ,wanakuwa wamoja huo ndio ukomavu ,vp huko kwenu ikitokea hivyo anayeshindwa lazima aole.... tu
 
Sijui unamaanisha nini paskali. Either you are jocking or you pretend to be blind. Or else unapiga kijembe kwamba wananchi ni dhaifu kwamba iweje CCM wafanye ubaradhuli ule serikali za mitaa bado wananchi tukakaa kimya ? Uoga wa vyombo vya dola ambayo ndiyo kinga ya CCM. Kumbuka Yale yalikua maagizo ya mwenyekiti wa CCM aliyepiga marufuku wapinzani kufanya siasa. Ninachosema ni kwamba pamoja na uoga wa wananchi. Mwendo ni uleule wataendelea kuunga mkono kila upinzani unapojitokeza na Serkali ya CCM itaendelea kutumia resource za inchi kujaribu kuua upizani husika in kind of a vicious cycle which will make us as a nation remain stagnant
 
Pia, una scandal fulani mbaya sana wewe na mwalle.
Sishangai kwanini unaweza kuandika upupu, CCM itatawala milele.
Something is wrong in your brain cells.
Usilete tabia za kike kwenye mijadala serious, unaleta umbea wa kuzungumzia scandal fulani mbaya ili uulizwe ndio utiririke, JF ni user generated forum una kitu unafungulia thread unaweka sio kuja kwenye mada zisizohusu, mimi always niko frank, open na transparent, una lolote kuhusu mimi be free kulisema, usijifiche chini ya mwamvuli wa umbeya wa scandal fulani mbaya, ifungulie tuu uzi watu waijue.

Humu jf tunabishana kwa hoja, nimetoa hoja ya CCM kutawala milele, na nikaweka hoja zangu, hivyo uko huru kuziita upupu, hata kuziita pumba, lakini kama hujapangua hoja kwa hoja, hakuifanyi CCM isitawale milele!.
Tena nakusisitizia kuwa CCM itatawala milele, kama una hoja mbadala pangua vinginevyo ukweli ndio huu

P
 
CCM ndio hii inatawala milele na maendeleo haya ya kuonekanika tunayaona, ndege huzioni?, barabara za juu kwa juu huzioni?, SGR huioni, Stigler kazi imeanza, stagnation gani unayoizungumzia wewe wakati tunapaa na Tanzania ya viwanda?.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…