Simple equation inayoitesa CCM na Taifa

Umeongea point kubwa sana jumapili ya leo
 
Resources zikitumika kudhofisha chama A chama B kinapata nguvu ukihamishia resources kuua chama B chama C kinaibuka kwani ni matakwa ya wenye inchi .
'Resource' pekee waliyonayo kwa sasa hivi na ndio kinga yao kubwa ni vyombo vya ukandamizaji tu pekee- polisi, tume na wengine.

Wangetegemea pesa pekee, kama wanavyofanya kuwanunua wabunge na madiwani wasingefurukuta kwa aina yoyote mbele ya wananchi waliowakinai.

Pangetokea ushawishi wa kutosha kuvionyesha hivi vyombo vya wananchi kukataa kutumika kisiasa ingekuwa kazi rahisi sana kuwaondoa CCM.
 
Mkuu 1000 digits hebu nifafanulie hapo uliposema CCM itaanguka ghafla kabla ya 2025!

Vile vile Katiba mpya ya nchi itapatikana kabla ya 2025
 
..kuna MADOGO wengi ambao hawaiogopi / hawaiheshimu CCM tofauti na wazee watu wazima wamefikisha umri wa kupiga kura. Hao ndiyo tatizo na watakuja kuiangusha CCM.
 
Kwa hawaaa chadema miccm itasubili sana

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Boss Los técnicos Umeongea kwa Hisia kali .. Ila nitoe mimi huko, Natumaini wahusika wamekusikia na watafanyia kazi Ushauri na Maoni yako. Tatizo Watawala wanacheza Mind Set zetu.


 
Nimepapenda hapo faida kwa familia zao
 
Ukweli ni kwamba wananchi wanataka chama mbadala wa CCM kuongoza inchi. Suruhisho either turudi mfumo wa chama kimoja au turuhusu democrasia ya kweli.
Mkuu Kagoshima, wananchi wepi hao unao wazungumzia wanaotaka chama mbadala wa CCM?.
Kipimo cha wananchi kutaka chama mbadala ni kipi?.
Tujifunze kuwa wakweli toka ndani ya nafsi zetu, chama kipate ushindi wa kishindo cha asilimia 99.9% halafu useme watu wanataka chama mbadala. Kipimo pekee cha sauti ya watu ni kupitia kwenye sanduku la kura, natumaini kazi nzuri kwenye serikali za mitaa umeiona, October inakwenda kukamilika kwenye uchaguzi mkuu na wembe uliotumika kunyolea kwenye serikali za mitaa, unakwenda kutumika kwenye uchaguzi mkuu!.
P
 

Matatizo ya uchumi yajayo ndio yatakayoiua ccm hii. Kinachofanyika sasa hivi ni kuzalisha kundi la watu wasiokuwa na cha kupoteza (mtu ataogopa polisi na vyombo vya dola pale tu anapokuwa na kitu cha kupoteza). Itakapofikia optimum number ya wasio na cha kupoteza (na hawana matumaini) polisi watavua magwanda na siku hiyo kila mtu anaejipambanua na ccm hii ataikana kwa nguvu zote.
 
Ama tuombe siku hiyo ifike, ama utasubiri sana kama sio kusubiri milele!.
Ukweli ni CCM itatawala milele!, take it or leave it
P
 
Magufuli ni kiski cha mpingo. Mabeberu wote duniani wanafyata mkia kwa Magu
Wanafyata mkia kwa Magufuli,lakini Magufuli anaufyatua kwa mabeberu kwakuwa anatambua kuwa maisha bila mabeberu haiwezekani,barabara zote zinazojengwa zinajengwa kwa msaada wa mabeberu, reli inayojengwa ni kazi ya mabeberu, kiwanja cha ndege Chato ni kazi ya mabeberu, daraja la kigamboni kazi ya mabeberu, ni juzi tu mabeberu wamepiga chafya ya kuzuia mkopo wao Lumumba yote iliweweseka kiasi cha kutaka kumtoa roho Zitto.
 

Paskali; unaanza kunifanya niamini kuwa sasa hivi unaishi nje ya nchi.
 
Aysee, una akili kisoda.

Baada ya kuitwa kwenye kamati kuna kitu walikuharibu.

Pia, una scandal fulani mbaya sana wewe na mwalle.

Sishangai kwanini unaweza kuandika upupu, CCM itatawala milele.

Something is wrong in your brain cells.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…