Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,438
- 166,904
Mkuu unaruhusuje bintiyo aje na kakijana kwenye mji wako, Mwisho wa siku jiandae kulea mjuu ambaye baba yake hana addressSema kweli.
Binti yangu juzi kaja na kijana nyumbani anayeitwa Paul ila anaonekana mapepe/machepele.
Ndivyo tunavyoishi, uhuru wa aina hiyo upo.Mkuu unaruhusuje bintiyo aje na kakijana kwenye mji wako, Mwisho wa siku jiandae kule mjuu ambaye baba yake hana address
Una uhakika gani hawajampasua, kwa mimi nilivo na roho yangu, huyo kijana akija kwangu nampa onyo asikanyage tena home, siku akija kurudi nampasulia pilipili machoni na ngumi za kutosha na mwenzi wake viganja vitamuhusu...Ndivyo tunavyoishi, uhuru wa aina hiyo upo.
Sitaki kujifanya nambana halafu wahuni wakampasue.
You are too old school manUna uhakika gani hawajampasua, kwa mimi nilivo na roho yangu, huyo kijana akija kwangu nampa onyo asikanyage tena home, siku akija kurudi nampasulia pilipili machoni na ngumi za kutosha na mwenzi wake viganja vitamuhusu...