Huyu mdogo wake na hanei wangu, huwa anapenda kufuatilia issue zangu kila kukicha. Mara kwa mara ugomvi wetu na dada yake yeye ndio chanzo au kichocheo, kosa hanei wangu akiliona dogo akilijua yeye litakuwa kubwa, ka kosa kidogo hata dada yake akisamehe yeye anaendelea kuninunia hadi nimuombe msamaha na yeye. Ningeweza kumpotezea lakini kwa bahati mbaya hanei kwao wamezaliwa wawili tu na huyo mdogo wake wanapenda sana. Njia zote za kumkwepa huwa zinaleta ugomvi kati yangu na dada yake. Kuna watu waliambia labda kwa kuwa hana relation ya maana ndio maana ana tym ya kutufuatilia sisi, wengine wakasema na yeye ananitaka hivyo kuondoa dhahma nimmege, kummega ni out of options maana nampenda sana dada yake akiniacha naweza data.Nimejitahidi kuficha chuki yangu lakini naona kama ninajiumiza tu, sasa sijui nimtafutie mpwa mmoja amuweke busy asitusmbue.
ndiyo shem wako lkn, vumiliaHuyu mdogo wake na hanei wangu, huwa anapenda kufuatilia issue zangu kila kukicha. Mara kwa mara ugomvi wetu na dada yake yeye ndio chanzo au kichocheo, kosa hanei wangu akiliona dogo akilijua yeye litakuwa kubwa, ka kosa kidogo hata dada yake akisamehe yeye anaendelea kuninunia hadi nimuombe msamaha na yeye. Ningeweza kumpotezea lakini kwa bahati mbaya hanei kwao wamezaliwa wawili tu na huyo mdogo wake wanapenda sana. Njia zote za kumkwepa huwa zinaleta ugomvi kati yangu na dada yake. Kuna watu waliambia labda kwa kuwa hana relation ya maana ndio maana ana tym ya kutufuatilia sisi, wengine wakasema na yeye ananitaka hivyo kuondoa dhahma nimmege, kummega ni out of options maana nampenda sana dada yake akiniacha naweza data.Nimejitahidi kuficha chuki yangu lakini naona kama ninajiumiza tu, sasa sijui nimtafutie mpwa mmoja amuweke busy asitusmbue.
sasa Burn...kumbe ulikuwa wanirusha roho bureeeeee...sawa tu. back to business kwani lazima upende ukoo wote?? huna lazima ya kumuomba msamaha.
sasa Burn...kumbe ulikuwa wanirusha roho bureeeeee...sawa tu. back to business kwani lazima upende ukoo wote?? huna lazima ya kumuomba msamaha.
halafu kakosewa mwingine aombwe msamaha mwingine, khaa ndoa hizi.....huyu bwana mie sioni hata sababu ya kumuendekeza, ugombane na dada yake anune yeye? eeh
...Acha kuyumbishwa 'kimapenzi', Jiwekee msimamo wako, uusimamie na wao wautambue na kuuheshimu. "samaki mkunje angali mbichi!"
Shishi mimi ni muafrika asilia usijali kunanafasi za kupenda zaidi ya kingi muswati kwenye moyo wangu ila yako ni namba wani. Back to biziness kwa hao unaweza sema ni muhimu kuwa nao karibu wote kwakuwa wamezaliwa wawili tu, halafu dingi alitangulia mbele za haki wanaishi na mama yao tu, halafu wanapenda sana unaweza kudhani ni mapacha, nisipokuwa na amani na mdogo mtu hanei naye namuona hana raha kabisa, ndio maana nikimuuzi tu, hata tukiyamaliza ataniambia alimuhadithia mdogo wake kwa hiyo nimuombe msamaha pia.

Lahaula!!!! sasa itakuwa mambo yenu yote anahadithiwa pia? mmmm mbona hapo pana tabu tu huoni wee hutokuwa na siri za kwako ni kila mnachofanya usipomridhisha kuleeee anakwenda kuhadithia pia uombe msamaha!!!! agggggggggggh jamani!
noooo hapo sasa umeni let down kabisa....mmmmmm. hata mapacha wana siri zao sembuse wao ni dada tu! mbona una kazi nyingi tu!!! basi lazima hata mama mzazi ahadithiwe pia.
hapo mkuu kuna namna!.
huyo mai hanei wako lazima anamtumia huyo shemeji yako kukuspai na kukupima moyo wako kama ni wa kubabaikia mashori ama vp, stuka mkuu mtego huo!!.
Mzee moskwito mimi ni mtu mwenye misimamo kuliko hittler, ila nimekuja gundua kwenye suala la mapenzi nikijifanya na misimamo namna hii naweza kupoteza tunda langu na maisha yangu yakawa mizarabo.
mkuu umeshawahi kupenda wewe?
Dawa ya moto ni ..............=mmege