Inaelekea wewe ni mtunzaji mzuri na usie na mkono wa birika.. Hebu njoo huku pm mara moja nikunong'oneze lolz.
Maisha ya cumpus huwa yanawazuzua sana mabinti wengi.we maliza shule urudi kitaa uone jinsi utakavoanza kushobokea hadi wasukuma mikokoteni.
daaahhh majangaaaa!!!bado ujamalizia.. JF, we chat, twitter yani unaweza kuta mtu kashika smartphones, tablets na kinokia tochi kiko kweny pochi..
Kwa kweli simpendi huyu kaka, kajitahidi vya kutosha kunionyesha ananipenda, kanipa kila kitu, tatizo hanisisimui, hanivutii hata, nimejaribu kujifunza kumpenda japo angalau niweze kumlipa wema alionifanyia lakin wapi, nimemwambia zaidi ya mara elfu kua hayupo moyóni lakin hataki kuelewa, yani ananiboa.
Kuna kipindi nliamua nimpe chance myb baada ya kudate ningeweza kumlike lakini wapi, anatabia ya kupenda kunicontrol, mara oo usiende chuo ntakupa chochote unachohitaji, mara usiwe pic zako fb, uwe unantumia kwa wassap,, mara sipendi utoke na marafiki zako kama unataka kwenda out niambie ntakutoa,,,yan inshort alinichosha.
His the guy I can call hata usiku wa manane and hell come to my rescue, lakn love, hapana moyo wangu umemkataa kata kata,
Love is something else kwa kweli.
Eid mubarak wanaMMU
Naona hiki ndio kisa cha hapendwi mtu linapendwa pochi lake.
Usimpotezee muda wa wake huyo mwanaume wewe kama humpendi unangangana nae wa nini? Kweli fadhila za punda mateke,vilevile tenda wema nenda zako usingoje shukrani huna haja ya kumlipa fadhila kwa kumpenda kama umejaribu umeshindwa utampunguzia maumivu na kumrahisishia kila kitu ukimuachia huru aende zake.Umeshaweka fikra ya kwamba sio mtu mwenye vigezo unavyovitaka na ndio maana humpendi na hutoweza kumpenda.Huyo utakayekuja kumpenda ndio atakutia kimuhemuhe mpaka akili itakaa sawasawa!Kwa kweli simpendi huyu kaka, kajitahidi vya kutosha kunionyesha ananipenda, kanipa kila kitu, tatizo hanisisimui, hanivutii hata, nimejaribu kujifunza kumpenda japo angalau niweze kumlipa wema alionifanyia lakin wapi, nimemwambia zaidi ya mara elfu kua hayupo moyóni lakin hataki kuelewa, yani ananiboa.
Kuna kipindi nliamua nimpe chance myb baada ya kudate ningeweza kumlike lakini wapi, anatabia ya kupenda kunicontrol, mara oo usiende chuo ntakupa chochote unachohitaji, mara usiwe pic zako fb, uwe unantumia kwa wassap,, mara sipendi utoke na marafiki zako kama unataka kwenda out niambie ntakutoa,,,yan inshort alinichosha.
His the guy I can call hata usiku wa manane and hell come to my rescue, lakn love, hapana moyo wangu umemkataa kata kata,
Love is something else kwa kweli.
Eid mubarak wanaMMU
Si ungenambia tu mpenz wangu jamani mpaka umeamua kunitangaza huku, but nitaendelea kukupenda kwa sababu umeuteka sana moyo wangu ni vigumu sana kuukubali ukweli huu mchungu sana kwamba hunipendi. Eid Mubarak nawe pia
naunga mkono hoja!!!!!ni type na mabinti wanaosoma chuo lakini hawajielewi! Hawafikiri kuna maisha baada ya chuo, tamaa za kupenda vitu kama pesa, nguo, magari na kuoneshea wenzao kwamba anatoka na ma handsome boy wenye wallet nene ndo mpango mzima.
Kiufupi ni muendelezo wa ukicheche tu, hamna lolote. Na huyo jamaa keshawasoma aina ya marafiki ulionao na ndo maana hataki utoke nao out hao viruka njia wenzako.
Kiufupi tulizana usome, umalize shule then uje mtaani utafakari ili ujue mchumba wa kukuoa awe na character zip? Kiufupi huwezi kumpata aliye perfect 100%. Huyo jamaa naye ukimuuliza kuhusu wewe anaweza kukutoa kasoro kibao!
Soma historia ya Obama na Michelle Obama ujue walianziana wapi, kikubwa jifunze mindset ya michelle ilikuwaje juu ya Obama. Utaona jinsi wanawake wenye think tank kubwa wanavyoitizama future leo.
very true....Inawezekana kule kukupenda kupitiliza ndio kulikoua upendo wako, ikifika naye amechoka, itakuwa kinyume chake kwako.
acha ulofa wewe subiri akuue arithi mali atumie na youngboy
Embu angalia ulicho post kwenye thread nyingine:
Tulizana wewe ki kicheche ......embu check hapa chini umeandika nini? Kwa hiyo unataka kuachana na mdogo mtu baada ya kumpata kaka mtu?