Simpendi hata kidogo

Simpendi hata kidogo

Anajifanya msela kumbe dada poa x 3
kumbe dada poa x 3
masela wanang'oa x2
kumbe dada poa
masela wanang'oa
analiwa hata kwa buku
anashindwa kupiga buku.
Anagawa nyapu kwa buku.


umemaliza .... Dah.
 
Kuwa shule raha sana.
Maliza uje huku kwenye Ulimwengu halisi

Hapa nakupa mia... Ngoja amalize shule kwanza... wanawake baadhi wa siku hizi akili hamna anawaza akitoka tu chuon cha kwanza awe na Range na maisha mororo
 
Si ungenambia tu mpenz wangu jamani mpaka umeamua kunitangaza huku, but nitaendelea kukupenda kwa sababu umeuteka sana moyo wangu ni vigumu sana kuukubali ukweli huu mchungu sana kwamba hunipendi. Eid Mubarak nawe pia


Lol itabidi unsamehe tu, lkn nimeweka humu kwa msisitizo zaidi
 
Bora nikuache, maana naona mambo yetu mimi na wewe umeyaleta fb
 
Bad Boys aint no gud but gud boyz aint no fun. Jamaa kinachomkosti ni kwamba he is a good guy. U need a bad boy.
 
Bora nikuache, maana naona mambo yetu mimi na wewe umeyaleta JF
 
Kitu huyo jamaa angefahamu ya moyoni mwa huyu
 
Natamani ningemjua huyo jamaa nikamshuri cha kufanya. Nilikutana na same position ya huyo jamaa about 3 months back. Nilikutana na binti mmoja nika fall in love so badly, in 3 weeks time nikawa nimeishampa zawadi za almost 2000 usd. kwa vile kazi zangu hunifanya niwe safarini mara kwa mara nilikuwa tayari kumlipia masters in uk this year. Nilimuonyesha upendo wa hali ya juu lakini akawa hasomeki kama hivi wewe. Mbaya zaidi nilimuuliza tangu mwanzo wa mahusino yetu kama yupo in relationship with someone else. N' she said yupo single, but on our way nikahisi hana hisia za kweli juu yangu nikasema na moyo wangu. Nikakubali maumivu makali ya mara 1 lakini kwa sasa nipo ktk kilele cha maumivu hayo naelekea kuwa huru na mwenye furaha.. btw unaweza kumuonyesha ujumbe huu huenda ukamfaa...
Minal faizin

Pole mkuu!
Ama kweli vice versa is true!
 
Back
Top Bottom