Natamani ningemjua huyo jamaa nikamshuri cha kufanya. Nilikutana na same position ya huyo jamaa about 3 months back. Nilikutana na binti mmoja nika fall in love so badly, in 3 weeks time nikawa nimeishampa zawadi za almost 2000 usd. kwa vile kazi zangu hunifanya niwe safarini mara kwa mara nilikuwa tayari kumlipia masters in uk this year. Nilimuonyesha upendo wa hali ya juu lakini akawa hasomeki kama hivi wewe. Mbaya zaidi nilimuuliza tangu mwanzo wa mahusino yetu kama yupo in relationship with someone else. N' she said yupo single, but on our way nikahisi hana hisia za kweli juu yangu nikasema na moyo wangu. Nikakubali maumivu makali ya mara 1 lakini kwa sasa nipo ktk kilele cha maumivu hayo naelekea kuwa huru na mwenye furaha.. btw unaweza kumuonyesha ujumbe huu huenda ukamfaa...
Minal faizin