so so sorry u seem a cheap thing? Deny it.
Dah!kama umemtamkia humpendi na bado anakuja nahisi ni tatzo lake binafsi,chukua hatua inayofuata usipokee chochote kutoka kwake!
anapokupanda unafika vilele...na ukifika ..unasemaje?
Mswahili
1. Mtu aneongea kiswahili
2. Mtu anaeshi pwani ya afrika mashariki
3. Mtu mbea/ asie tunza ahadi
The list goes on
Chek ww unafall wapi kabla cjakujibu swali lako
....hujanijibu swali langu la msingi..
Huyo jamaa anakupandisha mlima.?
Naona hiki ndio kisa cha hapendwi mtu linapendwa pochi lake.
Inaezekana uko sahihi Faiza lkn kusema ukweli hata pesa zake sizitaki, simfeel kabisa lkn hanielewi, king'ang'anizi sana
nimekutana nae fb sikujua kama ni kaka wa boyfie, kutokana na fake names hizi, basi tukachat chati wee mpaka kanizoea, kama wasemavyo wakikaa watu wawili peke yao shetani anakua wa tatu wao, basi kaka watu akajikuta kafall, sio utani mwanzo alikua haingii fb kivile bt nw 24/7 hadi nafanya kumfukuza akalale,, after sometime nkajua kama ni ndugu na mtu wangu, bt sikumwambia tukaendelea na urafiki wetu, kaka wa watu yupo mkoani anataka kuja tuonane, nashindwa nianzie wapi kumwambia kua am invoved wt his lil bro, naogopa ataniona muongo and hell stop trusting me,, niko njia panda,, I dnt want to lose hz friendshp
Kwa kweli simpendi huyu kaka, kajitahidi vya kutosha kunionyesha ananipenda, kanipa kila kitu, tatizo hanisisimui, hanivutii hata, nimejaribu kujifunza kumpenda japo angalau niweze kumlipa wema alionifanyia lakin wapi, nimemwambia zaidi ya mara elfu kua hayupo moyóni lakin hataki kuelewa, yani ananiboa
Kuna kipindi nliamua nimpe chance myb baada ya kudate ningeweza kumlike lakini wapi, anatabia ya kupenda kunicontrol, mara oo usiende chuo ntakupa chochote unachohitaji, mara usiwe pic zako fb, uwe unantumia kwa wassap,, mara sipendi utoke na marafiki zako kama unataka kwenda out niambie ntakutoa,,,yan inshort alinichosha
His the guy I can call hata usiku wa manane and hell come to my rescue, lakn love, hapana moyo wangu umemkataa kata kata,
Love is something else kwa kweli.
Eid mubarak wanaMMU
uko chuo? ushakula vyake? kwann ulmkubal ili ule vyake? maliza chuo uanze kutafuta maisha bla yy km siutajiuza