nyoooo😀Ngoja niwe silent bas😊
Nyiiiiiiiiiii[emoji41]nyoooo[emoji3]
hehe tulia basiNyiiiiiiiiiii[emoji41]
Mimi kuna mwanamke ana mimba yangu ya miezi miwili, kabla nlikua nae just funny tu, keep it for need wala hatuongelei malengo mengi(na yeye kabla hajanitunuku aliniuliza kama sina mpango nae niseme mapema..nikamwambia I can't make promises, kama amenikubali kiroho safi tuende sawa tukifika pamoja huko kwenye future ishalha lakini nilikua najua hatutafika)
Sasa alivopata mimba tu akaniuliza nina mpango gani nae? Na kama sina malengo mengi atoe!
Ukweli mimi sinaga option ya kutoa mimba na mpango wa kuoa sina pia.
Sio eti sitaki kumuoa yeye tu, yaani sioi kabisa hata wengine.
Sasa ndo ivo mimba inakua yeye ananifikilia kumbe na mimi namipango yangu.
Sasa sijui nimwambie tu saivi ili badae asije kunilaumu akishakuwa single maza (nahisi nikimwambia tu atatoa mimba)
Hii vipi wadau?
Nawe hujielewi kama unajua huna mpango na mtu kwann usitumie kinga?? Ona sasa umeongeza single mamaMimi kuna mwanamke ana mimba yangu ya miezi miwili, kabla nlikua nae just funny tu, keep it for need wala hatuongelei malengo mengi(na yeye kabla hajanitunuku aliniuliza kama sina mpango nae niseme mapema..nikamwambia I can't make promises, kama amenikubali kiroho safi tuende sawa tukifika pamoja huko kwenye future ishalha lakini nilikua najua hatutafika)