OMWAMI2020
Member
- May 28, 2019
- 66
- 94
Duh sasa kama humpendi ilikuwaje mkalala wote n ukafanya yako bila hata ya kujaladia kweli au ulibakwa ...
Lkn imekuwa kawaida tunaowapenda hawatupendi na wanatupenda hatuwapendi . kama kweli unapenda mwanao apate malezi bora basi chagua kujifunza kumpenda mama ake!