Simpendi hata ile ya kinafiki jamani Naombni ushauri

Muanzishie biashara au kitu cha kumuweka bize,ataachana na wewe
 
YAANI ANAYEKUTUNZIA MWANAO AKAKUBEBEA KWA TABU JUU YA TABU HUMPENDI HUNA FUTURE NAE...

AISEE...SASA HIVI NI PENDA UNAPOPENDWA...
 
Eid mubark for all Muslims

Jamani kuna mwanamke nimezaa nae mtoto ila ki ukwelii simpendi hata asilimia moja daah na ni mzuri kweli ila simpendi ata lile pendo la kinafiki siwezi sijawahi kuongea nae vizuri namkaripia kila sikua ,na namuambia sikupendi ila bado ananiganda tuuu haelewi somo na shamuambia mimi sina feature ya kuishi nae kabisaa.

Wakuu naombeni ushauri ili aweze kuachana na Mimi maana simpendii
unampenda mtoto wako?
 
Jitafakari
 
Watu kama hawa dawa yao ni kukutana na wanawake makonki, anakuvizia umelala anafyekelea mbali hicho kikololeo chako... Yaani umkojolee mpaka mimba halafu unakuja huku umebana pua eti simpendi [emoji849][emoji849]
Kwann ulizaa nae wkt humpend?
 
mkorogee sumu
Eid mubark for all Muslims

Jamani kuna mwanamke nimezaa nae mtoto ila ki ukwelii simpendi hata asilimia moja daah na ni mzuri kweli ila simpendi ata lile pendo la kinafiki siwezi sijawahi kuongea nae vizuri namkaripia kila sikua ,na namuambia sikupendi ila bado ananiganda tuuu haelewi somo na shamuambia mimi sina feature ya kuishi nae kabisaa.

Wakuu naombeni ushauri ili aweze kuachana na Mimi maana simpendii
 
Hii dhambi kubwa sana mkuu umeifanya.
Kwanini ulimzalisha?
Mpaka nimepata hasira hapa.
Acha unafki kijana kwani kuzalishwa ni dhambi kubwa kuliko unazozijua ww unavyotamani kulawiti Dada zetu mbna hatusemi kuzaa na mtu c kigezo cha nyie kuowana ndyo maana mnaambiwa mfunge ndoa kabla hamjafanya kwaiyo usimlaumu mtoa mada
 
Eid mubark for all Muslims

Jamani kuna mwanamke nimezaa nae mtoto ila ki ukwelii simpendi hata asilimia moja daah na ni mzuri kweli ila simpendi ata lile pendo la kinafiki siwezi sijawahi kuongea nae vizuri namkaripia kila sikua ,na namuambia sikupendi ila bado ananiganda tuuu haelewi somo na shamuambia mimi sina feature ya kuishi nae kabisaa.

Wakuu naombeni ushauri ili aweze kuachana na Mimi maana simpendii
Nipe namba zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom