Edson
JF-Expert Member
- Mar 7, 2009
- 9,847
- 5,055
inaonekana una tatizo mkuu wangu...kwa jinsi ulivyoeleza hapo juu unaonekana wewe uko katika kundi la watu wenye tabia ya melanchoric-phlegimatic... watu wenye tabia hii tatizo lao kubwa ni uoga, kuchukia pasipo sababu,kutopenda,kutojiami,hawezi kuanziasha jambo kwa hofu ya kuchekwa au kukosolewa, kuchukia wenzi wao.......so mkuu kama hakuna tatizo kati yako wewe na dada yako na dada yako hajakufanyia jambo baya huko siku za nyuma basi tatizo liko kwako......ni heri ungekuwa phegmatic-melanchoric ingekuwa kinyume cha hayo niliyoeleza hapo juu.....na mbaya zaidi kama ungekuwa pure melanchoric ugepata tabu sana....
kama hakuna tatizo mlilofanyiana wewe na dada yako basi tatizo ni lako mkuu wangu....jinsi ya kujinasua katika hilo taratibu unatakiwa kujenga tabia ya kuwa associate na wenzako.....jalibu kundoa mitizamo hasi kichwani mwako hasa juu ya dada yako....jifunze kuongea kiwaz na kama una jambo usikae nalo moyoni..we liseme....acha uoga...ondoa hiyo agora phobia uliyo nayo hapo utakuwa salama na ndiyo inakufanya ukimuona dada yako mbele yako hapo hapo unaanza kujiminya ndani na kuanza kutafuta upenyo .......
kama una swali uliza