Yummy
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,796
- 1,336
Asante Mtambuzi, sasa nimeridhika,Dah! Kisa kinasisimua kweli, ila polisi nao walifanya vibaya kumuua, angekuwa ametoka na silaha ndo wangepambana naye,
Asante sana baba Cantalisia hii ya leo imenisisimua ila sikuelewa huyo mdada kuhamia kwa mwanaume baada ya mwezi mmoja tu wa mapenzi aseeee kuna watu wana rohoo duu. Kijino ulitaka huyo jambazi aendelee kumaliza tu watu???yeye ameshaua wangapi mpaka hapo yeye alipouwawa???
Last edited by a moderator: