Simon Group Wanyang'anywa U.D.A

Simon Group Wanyang'anywa U.D.A

Sr. Magdalena

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
803
Reaction score
472
Balaza la madiwani Dar es Salaam lainyang'anya UDA Simmon Group kwa kuwa hisa ziliuzwa kijanja ujanja, sasa mchakato mpya utaanza baadaye, kwa sasa itaundwa bodi mpya ya UDA itakayoshikilia UDA kwa muda huu wa mpito.

Cha kujiuliza ni je waliotuingiza mkenge, watapelekwa kwa pilato?
 
Hebu ngoja kwanza, kwan ule mkopo wa SGL kutoka TIB (5b) haukudhaminiwa na mali za UDA? Sasa itakuwaje?
 
Waswahili husema mtu hujipima koti kulingana na mwili wake..
Wanasema sana kwamba serikali haina fedha, sawa, badala ya kuwapa wawekezaji wa nje, hivi UDA ikiundwa kama shirika binafsi chini ya City kisha wananchi wenye uwezo wa kununua mabus nje wayalete na wajiunge na UDA kwa kuingiza mabus hayo ktk kampuni hii... Tutashindwa bado kuliendesha shirika hili?..
 
Balaza la madiwani Dar es Salaam lainyang'anya UDA Simmon Group kwa kuwa hisa ziliuzwa kijanja ujanja, sasa mchakato mpya utaanza baadaye, kwa sasa itaundwa bodi mpya ya UDA itakayoshikilia UDA kwa muda huu wa mpito.

Cha kujiuliza ni je waliotuingiza mkenge, watapelekwa kwa pilato?

Waliotuinguiza mkenge mi natabiri kuwa watapewa ubalozi nchi za nje au ukuu wa mkoa.

Wamenyang'anywa kivipi?..... court order?
 
Hebu ngoja kwanza, kwan ule mkopo wa SGL kutoka TIB (5b) haukudhaminiwa na mali za UDA? Sasa itakuwaje?
Kiongoz usiwe kama mgeni, hizo zote ni movies/deals tu hao wakopaji walishajua hatma ya huo mchezo wa kuchukua UDA kihuni ili just wachukue mkopo then mkiwanyang'anya UDA mkopo utajicancel humo humo, mbona TIB ni kwao!!! Kumbuka nyuma ya hiyo deal yupo Iddi Simba na wezi wengine wa resilimali zetu. Mungu angekuwa mkali hii mijamaa angeiwasha moto mara moja chaaaaap tuisahau!!!!!!

Kimsingi baraza la madiwani lisiishie kuirejesha UDA tu, tunataka kuona hatua zinachukuliwa kwa wahuni walioingia hayo makubaliano mana UDA haikwenda huko SGL yenyewe tu. Nadhan ufike wakati wezi wa taifa hili wasiichi kwa amani tena!!!!
 
Waliotuinguiza mkenge mi natabiri kuwa watapewa ubalozi nchi za nje au ukuu wa mkoa.

You are very right! Na sababu kubwa ni kwamba wao ni miongoni mwa watu ambao wamethubutu kufisadi, wameweza though sio sana ila wakipewa the second chance, watasonga mbele......................CCM inaamini kuwa nchi yetu inahitaji wahuni/mafisadi/wezi wa rasilimali zetu kama hawa ili kusonga mbele!
 
Kuna taarifa kwamba Robert Kisena yule mmiliki wa simon group ameunguza masijala za UDA wiki mbili zilizopita kama juhudi zake za kupoteza ushahidi. moto huo inasemekana ni wa kupangwa kwa sababu maalum ya kuunguza nyaraka.
 
Na tunao TISS plus CID!!
 
kalakala zote za UDA zilizopo kurasini makao makuu Robert kisena kazivunja na kujenga maghala ya kuhifadhia pamba na maghala mengine kapangisha kwa kampuni ya bia TBL na makampuni mengine.
 
Mkuu kwa kweli kuna mikoa na wilaya ambazo bado hazina wakuu na sifa mojawapo ni kuwa uwe umewahi walau kuwa na kashfa au kufanikisha deal la nguvu
 
kalakala zote za UDA zilizopo kurasini makao makuu Robert kisena kazivunja na kujenga maghala ya kuhifadhia pamba na maghala mengine kapangisha kwa kampuni ya bia TBL na makampuni mengine.
We are very Stupid!(including me)
 
Back
Top Bottom