Simon Group Wanyang'anywa U.D.A

Simon Group Wanyang'anywa U.D.A

Said kubenea kanunuliwa na simon kisena kamwe hamtamuona anaandika habari za UDA na kama ataandika hautakuwa uandishi wake mliozoea ataandika kama habari nyepesi nyepesi. huyu jamaa mmiliki wa kampuni hiyo kampa mshiko wa nguvu kubenea na kubenea inadaiwa kapokea.
 
Hii habari ina walakini... Kwamba SGL wamenyan'ganywa hisa sidhani, lakini kuundwa kwa interim board of directors kweli.
 
tantalila tu hz. Mkishasahau itarudi simön group ile ile ila kwa jina jipya
 
Kisena aliwahi kukiri kwenye mdahalo wa movenpick kwamba kubenea ni rafiki yake mkubwa na ndani ya mdahalo huo kubenea alitamba kuwa ana ushahidi wote juu ya kashifa ya UDA hadi akafikia kuonyesha nyaraka za kashifa hiyo kwa washiriki kama ishara ya kukazia maneno yake lakini baada ya mdahalo huo kubenea amekuwa kimya pengine ni kweli kapokea mshiko kwa lugha ya vijana wa mtaani
 
mkopo wa bilioni 5 wa TIB umethaminiwa na mali za UDA na kuna wakati benki hiyo ilitaka kuuza mali za UDA lakini sijui suala hilo limekwisha vipi. Robert simon kisena ni kanjanja
 
Robert kisena alikamatwa na pamba ya wizi aliyokwenda kuificha kwenye maghala ya UDA lakini kesi yake imepigwa danadana japo watuhumiwa wote walikamatwa isipokuwa yeye.
 
Robert simon kisena ndiye yule aliyegombea ubunge jimbo la maswa na kushindwa na shibuda lakini baadaye Kisena ndiye aliyempiga ngwana OCD wa maswa wakati wa uchaguzi huo na kofia ya polisi kuanguka chini na kumchania nguo za polisi. OCD akahamishwa kwenda shinyanga mjini. kisena alimshinda shibuda kwenye kura za maoni wakati huo wote wakiwa CCM.
 
Tatizo siyo UDA kuuzwa kiujanja -ni sehemu ya tatizo tu- tatizo ni UDA kuuzwa kabisa. Jiji la Dar linahitaji a modern public mass transit system. Hivi ni gumu sana kulielezea au kulielewa hili?
Hili ndio jambo losiloeleweka kwa wengi hata seii irikalini kwamba huwezi kuliendesha jiji kwa kitumia daladala bali lazima uwe na kampuni kama uda yenye wafanyakazi wanaoeleweka na kutoa tickets kwa mashine na kuweka kumbukumbu zote za abiria, mapato na umbali ulio kuwa coveredm
 
Mh! Kwani ilipouzwa mwanzo baraza la madiwani halikukaa? eti kuwanyang'anya ni rahisi namna hiyo hata kisheria?
 
simon agency,simon group,simon INC,simon conglamerate,simon...
 
Kwa vile Vijana hawa ni wabongo, imewezekana kuwanyang'anya; JE hao wengine wenye mikataba yenye utata sekta zingine inakuwaje? ingekuwa ni mzungu asingenyang'anywa hata kama kunahitirafu hapa na pale; AIBU KWA WATANZANIA
 
This is another Richmond, believe Halmashauri ya Jiji itaishia kumlipa mapesa mengi Robert Kisena kwa kuvunja mkataba/kuunyang'nya hisa walizomuzia wenyewe kihalali.

Tutaendelea kulipia ufisadi wa viongozi wetu kama huo wa baraza la madiwani wa DSM. Hao madiwani ndiyo waliomuuzia hiyo UDA, kutengua tena maamuzi yao ni gharama kwa wana DSM because they will end up paying him heavily, hata kama ni akina Abromavich (mmiliki wa Chelsea anavyo hire na ku fire Managers) but this is all down to ufisadis.
 
Balaza la madiwani Dar es Salaam lainyang'anya UDA Simmon Group kwa kuwa hisa ziliuzwa kijanja ujanja, sasa mchakato mpya utaanza baadaye, kwa sasa itaundwa bodi mpya ya UDA itakayoshikilia UDA kwa muda huu wa mpito.

Cha kujiuliza ni je waliotuingiza mkenge, watapelekwa kwa pilato?

Kama Pilato mwenyewe ana mkono wake humo itakuwaje?!!!
 
Huyu kisena atawashinda kwa pilato.. kama kweli ndiye aliyempiga ngwala D.C
 
Balaza la madiwani Dar es Salaam lainyang'anya UDA Simmon Group kwa kuwa hisa ziliuzwa kijanja ujanja, sasa mchakato mpya utaanza baadaye, kwa sasa itaundwa bodi mpya ya UDA itakayoshikilia UDA kwa muda huu wa mpito.

Cha kujiuliza ni je waliotuingiza mkenge, watapelekwa kwa pilato?

Mbona sielewielewi hivi! Hili baraza limeketi lini wakati hii issue ya UDA ipo CHC?
 
Back
Top Bottom