Nasema hawana nidhamu kwa sababu baadhi ya wachezaji wa mtibwa walipovishwa medali zao wao waliamua kuzivua mbele ya mgeni rasmi ambaye ni rais wa znz Dr Shein. Punguzeni uhuni ninyi wachezaji wa mtibwa, hata kama hasira, hamkustahili kuzionyesha.

Walilewa sifa na kuamini kwenye mechi zile za kimtoano ni rahisi kama kwenye ligi. Waliamini wanachukua mwali, wakatumia energy nyingi bila kuongeza maarifa zaidi,matokeo yake wakapata stress tu na kuishia kukosa kombe. Hata hivyo wanahitaji pongez kwan walipamban
Nilifikiri nidham ya mchezo nikukatalie maana hata walipofunga penati zao walikuwa hawashangilii kabisa!! They stayed focussed the whole match isipokuwa tu penati ya mwisho jamaa alipata mcheche kidogo! Unapocheza kwa nidham ya hali ya juu kama vile lakn mwisho ukapoteza,frustrations ni lazima!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.