Simkumbuki Wakili mnafiki kuliko Marando

Mbona mmempa ban Nape ? huku ndiko kunasemwa kutokuwa wavumilivu kusikia pande ya pili. Watu wengine tutahusisha tukio na vile NAPE katishia kuja na scan docs za marando na Jeetu, ban inatafasirika kuwa takitaka ya kuupoza upepo huo ili asimwage ma docs.

WE don't DARE TALK OPENLY...... do you?
 
hata mimi sijawahi kuona kijana mnafiki kama nape, wale anaowaita mafisadi akina lowasa,ndo leo wanamlipa mshahara, kumbuka kuwa watuhumiwa anaowatetea marando siyo wezi wa epa, wezi epa ni aina chenge wewe,deep green,nk.

Bado namkumbuka Nape alivyowakomalia EL na Mzee Makamba kuuza/Kupangisha sehemu ya Jengo la vijana kwa mkataba mchafu wenye halufu ya rushwa 100%..then baada ya saga hilo eti akapewa ukuu wa wilaya na kunyamaza kimya tuliiiiiiiiiiiiii kama mtoto mchanga aliyepewa titi la mama yake, Kikubwa ninachojiuliza hivi hawa watu aina ya Nape huwa wanaamini kabisa kuwa wakimsema vibaya mtu fulani basi watanzania watawaamini kirahisi tu? mbona watu tukienda huko vijijini twaona jinsi watanzania walivyobadilika kiuelewa tofauti na enzi za akina Mzee Nnauye? waTz wa leo wanataka uwaeleze kitu chenye faida au kitakachowapunguzia makali yao kama CDM anavyofanya na sio personal attacks ambazo hazisaidii kuwa kwamua toka ktk uchumi duni walionao, Nape badilika uende na wakati ndipo chama chako kitakapokuona kuwa kweli unasimamia unachokiamini na sio ukigeugeu unaoonyesha bila aibu,
 

Yawezekana yakawa ya kama Ben Saanane "ushushushu"....
 
Ndugu yangu engmtolera hizi ni mwendelezo wa hoja hoja kipuuzi toka kwa nape.kumbuka MARANDO kama wakili anakuwa yupo kazini na ndiyo ajira yake hiyo,,hivyo kwa vile fisadi anatajwa na watanzania wengi na si marando tu,hivyo kwenye ushahidi marando anapokuwa mtetezi inabidi watanzania akiwemo nape 2najitokeza sasa kumnanga marando kwa ushahidi na si vinginevyo kwa kuwa pale marando anakuwa kazini.hope umenisoma
 

Kwanza anza kushangaa JK alivyomtetea Mramba mwenye kesi hadi leo wakati yeye sio wakili
 
Hivi huko chuo kikuu wanasheria wanafundishwa kutetea uongo? ama kupindisha ukweli? na fikiri maana ya sheria ni kutetea haki kutendea haki.
Ukiwa na uhakika kama wewe mwanasheria kuwa jamaa yule kaua, huna haki tena ya kumtetea huyo jamaa kwa msingi kwamba hakuua, wewe kama mwanasheria kimsingi unabidi ukubali jamaa kaua ila unamtetea kwa mambo mengine mfano asiadhibiwe kinyume ama zaidi ya kipimo.

Kumtetea mahakamani kwa kusema jamaa hakuiba harafu ukaenda jukwaani ukasema jamaa ni mwizi, hiyo ni zaidi ya UNAFIKI nawala siyo principal ya wanasheria, kifupi kwa neno jepesi ni UFISADI wa level ya juu kabisa.
 
Hakuna kazi yoyote duniani inayo mtaka mhusika kuwa kigeu geu ama kufanya anachoamini siyo. Tusitake kuidharirisha sheria kama ni hivyo mnaopigania utawala wa sheria ndo hii sheria ya namna hii mnayotaka?

Kwamba serikali itayokuja ya utawala wa sheria itakuwa kwamba hata viongozi wake wakiiba basi wanasheria wa kuu wa serikali hiyo watawatetea kwa nguvu zote. Kuna tofauti gani na waliopo sasa? jogoo yule yule ila kwa kilemba tofauti?
 
Kesho saa tatu kamili kwa Tanzania na Saa kumi kamili jioni Mashariki ya Mbali uliko ndugu Nape Nnauye, MDAHALO utaanza hapa JF,

Vuta subira mkuu, hayo yote huta yasema tena!
 
Kazi ya Uwakili usipokuwa muangalifu.....watu watashindwa kukutofautisha na watuhumiwa unaowatetea
 
Sio daktari tuu, huyu Nape alikuwa mstari wa mbele kuelezea UVUAJI GAMBA chamani wa mafisadi. Sasa kimya na anawatetea!!!!!!!!!!
 

wewe ni kijana uneaiumauma nini? sema hii tabia ya kiccm vijana mnaipata wapi? kuwa ccm ndiyo wotw wazee kwa kijana mnafanana? hakuna unafuu ya kijana na mzee aise mgodongu nape rudi zako CHIUTA kalime
 
Yaani NAPE wewe ndio unasema kuambiwa una kadi mbili ni UPUUZI!!! kama ni UPUUZI kwanini wewe ushadadie kadi 2 za Dr Slaa?!! wewe NAPE UNAPIGA kelel sana sana ukiguswa wewe mwenyewe hapo juu unamwita JEETU BABA YAKO ...wakati huo huo huo unasema Fisadi...ajabu kweli wote wewe na Marando wanafiki...yeye anachummia tumbo na wewe siasa njaa..
 
Kwanza anza kushangaa JK alivyomtetea Mramba mwenye kesi hadi leo wakati yeye sio wakili


hahahahahahahaha
tanzania oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
pigeni pesa watu wa epa,hakuna msafi ktk Tanzania hiii,tusipige tena kelele kama tunawatetea waiba pesa za EPA
 

kama sikosei ni kuwa marando anawatetea jamaa then anaenda kwenye majukwaa ya kisiasa anawataja hao hao kama mafisadi ndo maana jitu la pateli likamuuliza kwa nini limwamini.
 

nakubaliana na wewe kabisa
mfano jambazi limeingia nyumbani na limeniibia pesa zangu,kesho naenda polisi na kulipoti juu ya wizi huo,na polisi wanapolikamata jambazi hilo na kulipeleka mahakamani,mimi niliye ibiwa naingia mahakamani kulitetea jambazi hilo.Kiukweli nalisema toka moyoni,kwa upande wangu nikiwa mpenda mabadiliko sikuridhishwa na kitendo cha cha mzee wetu marando kuhalamisha halamu na kuitetea,naomba niwe muwazi ktk hili.
 

Utalitetea hilo jambazi kama limekulipa pesa zaidi ya ile pesa ambayo jambazi huyo amekuibia. Ha ha ha hebu iite hiyo hali kwa neno lake halisi.
 
Nape,
Tatizo lako ni kwamba una tendency ya kuanzisha mada halafu tukianza kukuuliza maswali unasepa. Inakuwa vigumu kwa watu makini kuchangia kwa sababu hiyo.

Jasusi, nilishawahi kuuliza inakuwaje ukishakuwa mwanasiasa kichwa kinaenda likizo isiyo na malipo juu ya kufikiria?
 

Labda ndo sababu kapigwa stop, maana alichomnanga nacho Dr Slaa leo amegeuka kukiita upuuzi sijuwi anasimamia wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…