SIMIYU: Rais Samia Suluhu tayari ameshinda Uchaguzi wa 2025 hata kabla ya kushinda ni mserereko tu

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Jul 10, 2020
2,551
2,183
BEI YA PAMBA JUU TENA,TOKA TZS 810 HADI TZS 1,800 MAKOFI KWA RAIS SAMIA


Bei ya Pamba Tanzania imepanda kutoka Tshs 810/kg mpaka TZS 1,800/kg kwa kilo wakati huu wa Mama Samia Suluhu Hassan,

Hii ni sawa na ongezeko chanya la 125% ambalo wakulima wanalipwa mkono kwa mkono tena by " Cash money" wao wanasema "NO CASH NO COTTON"

Huko nyuma hawa wakulima wa Pamba Pamoja na kupewa bei ndogo ya Pamba yao bado Watoto hawa wa Masikini waliuza Pamba yao kwa Mkopo.

kwawale msiofahamu,Turufu pekee ya kisiasa Kanda ya Ziwa ni "Bei ya Pamba" tu,Yaani Ukimaliza na Pamba umeshinda Uchaguzi,

Huko nyuma, CCM imekuwa ikihenyeshwa karibu katika kila Uchaguzi huku kosa la CCM likiwa ni kushindwa kudhibiti "Bei Ya Pamba " tu,

RC Kafulila anasema ,tangu Uhuru bei ya Pamba haijawahi kufikia TZS 1,800/kg ila tu ni kwa awamu hii ya Mhe Samia Suluhu,

Leo Mama Samia ameamua kupunguza faida kwa Wanunuzi|Walanguzi wa Pamba,

Lengo likiwa ni kumtetea huyu Mlalahoi kwa Vitendo kwa kumwongezea TZS 700/kg ya Pamba atakayouza,

Pesa hii maranyingi ilikuwa ikiende kwa Mnunuzi kama faida ya maramia,

Leo hii Mama Samia ameirudisha kwa Mkulima na hii ndio maana halisi ya "Mama"

Msikilize huyu Mwamba Mpaka mwisho,

Your browser is not able to display this video.
 
Samia ndiyo anaunua au soko la dunia ndiyo linaamua? rubbish
 
Jinga kweli miaka ya nyuma kahawa ilikuwa bei juu, mbaazi na ngwara Samia alikuwepo?
 
Samia ni level zingine 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220607-213222.png
    114.3 KB · Views: 22
Hiyu ndo rais wa wanyonge Sasa siyo unyonge wa sifa tu na mapambio ya kipindi kile Cha giza eti mpaka tbc wakaweka kipindi Cha kishindo Cha awamu ya tano. Mama anafanya kimya kimya hamna mayowe Wala kelele.
Hii nchi ilipotea Sana kuongozwa za zero brain
 
Jinga kweli miaka ya nyuma kahawa ilikuwa bei juu, mbaazi na ngwara Samia alikuwepo?
Acha uongo. Hapa singida sisi wakulima wa mbaazi tulikuwa tunalia mpaka tunamsubili jpm akatize tu tumponde mawe kwa kuharibu zao la mbaazi Kama alivyotaka kuuawa kule luangwa kwa kuharibu zao la korosho. Yule bwana kila zao ilikuwa kilio halafu anajiita mtetezi wa wanyonge kumbe anawanyonga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…