Similarities between Nyerere and Zitto Kabwe

Joined
Jan 18, 2013
Posts
26
Reaction score
9
Najaribu kuwalinganisha hawa watu nashindwa kabisa kupata tofauti yao, yaani Zitto Kabwe na Julius Nyerere , similarities zao ni kama zifuatazo

1. Nyerere alizaliwa kijijini butiama mji mdogo amabo kila mtu aliudharau kwa kipindi hicho.
Zitto naye alizaliwa mkoani kigoma ambao watawala wa ccm hawakuujali kabisa tena si tu kwamba alizal;iwa kigoma bali alizaliwa MWANDIGA

2.Nyerere alikuwa mkali dhidi ya wapenda rushwa kiasi kwamba alikuwa tayari hata kusema c.cm chama alichokianzisha mwenyewe kuwa siyo baba yake wala mama yake na yuko tyari kukiacha.
Zitto Kabwe alikuwa tayari kumuagiza CAG akikague chama ambacho yeye alikuwa ni naibu katibu mkuu
Nyerere kila alipoongea ilikuwa lazima kila mtu amsikilize kwa makini, nakumbuka jinsi alivyolimaliza swala la G55 kiasi amabcho hata waanzilishi wa hilo walimpigia makofi
Zitto alipokuwa anaongea hata wenye kejeli na kebehi kama Muhongo walinyamaza kimya na hata wabaya wake mbowe na tundu lissu walikuwa wanampigia makofi kila mara.

Tunajifunza nini Kupitia hilo andiko hapo Juu??

watu wote maarufu duniani walizaliwa kijijini wALA SIYO SIFA KUJISIFIA KUWA WEWE UMEZALIWA ocen road, natoa mifano sita tu ya watu waliopata umaarufu mjini wakati walizaliwa kijijini
1. Nyerere alizaliwa butiama kawa maarufu kuliko waliozaliwa kariakoo
2.mandela kazaliwa qunu kawa MAARUFU KULIKO WALIOZALIWA PRETORIA AU JBURG
3.yesu alizaliwa naazereth kawa maarufu kuliko waliozaliwa yerusalem
4. Mtume Mohammad kazaliwa medina lakini amekuwa maarufu kuliko waliozaliwa mecca
5.Hitller alizaliwa poland lakini amekuwa maarufu kuliko waliozaliwa berlin
6 Kimeta Wa Mpui kazaliwa mpui kaona komputa kwa mara ya kwanza akiwa chuo kikuu ila ni maarufu sana mitandaoni kuliko waliozaliwa wameshika ipaD NA LAPTOP
KWA LEO NAISHIA HAPA
 
Last edited by a moderator:
Unalinganisha Nyerere na UCHAFU, kweli wewe ulitaka kuwa na uzi leo kabla ya saa 6 mchana
 
Unatakiwa uwe umekatika mshipa wa aibu, ili uweze kuandika haya.
^^
 
Mnakosea adabu Nyerere kwa kumlinganisha na Zitto,Nyerere aliwapigania Watanzania maskini mpaka kifo chake,hakuwahi kuwasaliti na ndiyo maana alikufa akiwa na maisha ya kawaida kabisa.You can't say the same shit when it comes to Zitto.He is young and very rich,How did he become rich no one can tell.
 
moon-and-stars.png
 
Najaribu kuwalinganisha hawa watu nashindwa kabisa kupata tofauti yao, yaani Zitto Kabwe na Julius Nyerere , similarities zao ni kama zifuatazo
1. Nyerere alizaliwa kijijini butiama mji mdogo amabo kila mtu aliudharau kwa kipindi hicho.
Zitto naye alizaliwa mkoani kigoma ambao watawala wa ccm hawakuujali kabisa tena si tu kwamba alizal;iwa kigoma bali alizaliwa MWANDIGA
2.Nyerere alikuwa mkali dhidi ya wapenda rushwa kiasi kwamba alikuwa tayari hata kusema c.cm chama alichokianzisha mwenyewe kuwa siyo baba yake wala mama yake na yuko tyari kukiacha.
Zitto Kabwe alikuwa tayari kumuagiza CAG akikague chama ambacho yeye alikuwa ni naibu katibu mkuu
Nyerere kila alipoongea ilikuwa lazima kila mtu amsikilize kwa makini, nakumbuka jinsi alivyolimaliza swala la G55 kiasi amabcho hata waanzilishi wa hilo walimpigia makofi
Zitto alipokuwa anaongea hata wenye kejeli na kebehi kama Muhongo walinyamaza kimya na hata wabaya wake mbowe na tundu lissu walikuwa wanampigia makofi kila mara.

Tunajifunza nini Kupitia hilo andiko hapo Juu??

watu wote maarufu duniani walizaliwa kijijini wALA SIYO SIFA KUJISIFIA KUWA WEWE UMEZALIWA ocen road, natoa mifano sita tu ya watu waliopata umaarufu mjini wakati walizaliwa kijijini
1. Nyerere alizaliwa butiama kawa maarufu kuliko waliozaliwa kariakoo
2.mandela kazaliwa qunu kawa MAARUFU KULIKO WALIOZALIWA PRETORIA AU JBURG
3.yesu alizaliwa naazereth kawa maarufu kuliko waliozaliwa yerusalem
4. Mtume Mohammad kazaliwa medina lakini amekuwa maarufu kuliko waliozaliwa mecca
5.Hitller alizaliwa poland lakini amekuwa maarufu kuliko waliozaliwa berlin
6 Kimeta Wa Mpui kazaliwa mpui kaona komputa kwa mara ya kwanza akiwa chuo kikuu ila ni maarufu sana mitandaoni kuliko waliozaliwa wameshika ipaD NA LAPTOP
KWA LEO NAISHIA HAPA
uzi mzuri sana huu. umesema kweli, hizo ni similarities za kweli. lakini kuna differences pia.

1. nyerere alioa mke ili kama mwanaume aheshimiwe kama mwanafamilia, lakini zito hajui maana ya familia

2. nyerere alikuwa mkweli sana, zito..............

3. nyerere hajawahi kuwa msaliti, zito ana tuhuma za kula karibia bilioni tatu toka ccm ili awasaliti na kuchafua CHADEMA ndio maana ana mipesa ya kujenga lile goropa pale dodoma/hata kama yeye anasema amekopa bank lakini ukweli unajulikana na insiders.

4. nyerere hakukaa masaki, zito anakaa masaki

5. nyerere hajawahi kuwa mbunge wa mahakama, zito ni mbunge wa mahakama

6. nyerere hajawahi kuwa na kashfa ya kulala na mbunge, zitto ana kashfa ya kulala na marehemu amina chifupa.

7. kuna mengi, naogopa nitamchana hapa hadi damu.....
 
Wewe uliyeanzisha mada ni muongo, hufanyi utafiti. Mtume Muhammad hakuzaliwa Madina kama unavyodai, alizaliwa Makka.
 
stupid:
zito amewahi kumiliki hammer,baba wa taifa hakuwahi kununua gari
 
Una mwandiko mzuri,Haya asante tumeuona, eti ulinganishe akili na matope kweli? huyo mzinzi ndo uhiaribu heshima ya Baba wa Taiga?
 
Zitto ni msaliti Nyerere sio msaliti
Zitto ni mpenda vyeo Nyerere hakuwa mpenda vyeo
Zitto ni fisadi Nyerere hakuwa na doa hata1
Zitto ni mhuni miaka38 Hana hata mchumba Nyerere hakuwa anakaa geto
Zitto ni mnafiki Nyerere alikuwa muwazi
 
uzi mzuri sana huu. umesema kweli, hizo ni similarities za kweli. lakini kuna differences pia.

1. nyerere alioa mke ili kama mwanaume aheshimiwe kama mwanafamilia, lakini zito hajui maana ya familia

2. nyerere alikuwa mkweli sana, zito..............

3. nyerere hajawahi kuwa msaliti, zito ana tuhuma za kula karibia bilioni tatu toka ccm ili awasaliti na kuchafua CHADEMA ndio maana ana mipesa ya kujenga lile goropa pale dodoma/hata kama yeye anasema amekopa bank lakini ukweli unajulikana na insiders.

4. nyerere hakukaa masaki, zito anakaa masaki

5. nyerere hajawahi kuwa mbunge wa mahakama, zito ni mbunge wa mahakama

6. nyerere hajawahi kuwa na kashfa ya kulala na mbunge, zitto ana kashfa ya kulala na marehemu amina chifupa.

7. kuna mengi, naogopa nitamchana hapa hadi damu.....

Sasa na ww ndo unahoja nyepesi hivo hebu panua mawazo yako walau kidogo TUHUMA .!!!!'. Kwa hiyo watu wakikutuhum www ni MCHAWI na sis tuendele kuamin.yaani hoja zako ni za kitoto mno eti kukaa masaki kwani wanaopaswa kukaa masaki ni akinanan au masaki ni mji wa kufikirika
 
Back
Top Bottom